TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 5,771
- 17,849
Sasa nyumba mpo wawili mtu analalamika majukumu 🤣 Ila wanawake wa siku izi jamani mna kazi. Yaani hapo kuna majukumu gani ya kusaidiwa? Kuosha sahani moja na vijiko viwili?Mi muumini wa ndoa pia naaamini katika ndoa l!!!!!
Ndoa changa unalalamika Nini na huna mimba Wala mtoto mfanyakazi wa nini???? Huo no muda wa kupeana mahaba... Mwanaume ukimshika vizuri mbona anapika , anafua yaani atafanya chochote akufurahishe wamama wa kisasa punguzeni uvuvi!!!! Anaangalia movie hebu vua nguo vaa kimtandio au kinguo cha mtego kamuinamie hapo uone Kama ataangalia hiyo movie... Mpe gemu part one halufu mkimaliza unamchukua bafuni mnaoga unampa gemu mnato mkimaliza mnajisafisha uone Kama hatakusaidia.... Ndoa inataka ubunifu japo mwanaume haridhiki.
Huyo mwanamke inaonekana hata angekua anaishi mwenyewe bado angelalamika kazi ni nyingi. Uvivu tu.