Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

Nadhani tatizo liko kwenye umri na ukomovu wa akili kwa huyo dada aliyeingia kwenye ndoa, Hili liko wazi ukimsoma neno kwa neno, asaidiwe kwa kushauriwa na atambue majukumu yake ni yapi.
Nadhani kabla ya ndoa alipewa semina, hapo akubali tu ameshaingia kwenye ndoa na hizo ndio changamoto zenyewe Mimi mfanyakazi kwenye ndoa mpya siafiki kabisa.
 
Ila kiuhalisia wote wanachoka wanawake nao ni watu dd wa kaz awekwe
Kwahiyo kinachomchosha ni kazi, sio ndoa!

Kwa mujibu wa manual, kila kada ina majukumu yake kama ilivyo kwa Job Description yake huko kazini; anataka majukumu yake kwenye ndoa afanye nani?

Mnaosema aongeze binti wa kumsaidia kazi, si ndio nyie nyie mnaosema mshahara/pesa ya mwanamke haiguswi? Nani atamlipa? Sasa kinachompeleka huko kunakomchosha ni nini?
  • Mnataka kazi za nyumbani wafanye 50-50 halafu kila mtu apambane na majukumu yake kwenye ajira yake sio?
  • Na Matumizi yote yahusuyo familia wakutane 50-50, sitakuwa na shida.
 
Huyo dada nae ameajiriwa anafanya kazi. Kama mshahara wake unasaidia majukumu ya nyumbani basi anatakiwa kusaidiwa kazi za nyumbani.
 
Mi muumini wa ndoa pia naaamini katika ndoa l!!!!!
Ndoa changa unalalamika Nini na huna mimba Wala mtoto mfanyakazi wa nini???? Huo no muda wa kupeana mahaba... Mwanaume ukimshika vizuri mbona anapika , anafua yaani atafanya chochote akufurahishe wamama wa kisasa punguzeni uvuvi!!!! Anaangalia movie hebu vua nguo vaa kimtandio au kinguo cha mtego kamuinamie hapo uone Kama ataangalia hiyo movie... Mpe gemu part one halufu mkimaliza unamchukua bafuni mnaoga unampa gemu mnato mkimaliza mnajisafisha uone Kama hatakusaidia.... Ndoa inataka ubunifu japo mwanaume haridhiki.
Naomba gemu mnato dear
 
Kitchen party nishapata bado mume sasa 😹
 
Nakupokea kuwa mke wangu kwenye mema, na mabaya, kwenye Raha na shida, uzima na magonjwa... Mpaka kifo kitutenganishe 😢
 
Mi muumini wa ndoa pia naaamini katika ndoa l!!!!!
Ndoa changa unalalamika Nini na huna mimba Wala mtoto mfanyakazi wa nini???? Huo no muda wa kupeana mahaba... Mwanaume ukimshika vizuri mbona anapika , anafua yaani atafanya chochote akufurahishe wamama wa kisasa punguzeni uvuvi!!!! Anaangalia movie hebu vua nguo vaa kimtandio au kinguo cha mtego kamuinamie hapo uone Kama ataangalia hiyo movie... Mpe gemu part one halufu mkimaliza unamchukua bafuni mnaoga unampa gemu mnato mkimaliza mnajisafisha uone Kama hatakusaidia.... Ndoa inataka ubunifu japo mwanaume haridhiki.
Kumbe ukiachana na likes huwa unatoa comments za kibabe🤣
 
Jamaa anafeli sana, haitakiwi kila kitu muwe sawa na mkeo, yeye kama anarudi 11 wewe chelewa kidogo hadi saa 2 au tatu huko.

Ndio shida ya vijana waiokula gambe hiyo, mapemaaa yupo home kama kuku..
Na mke anaona ndoa ni utumwa maana mume hampi changamoto za hisia.
 
Mi muumini wa ndoa pia naaamini katika ndoa l!!!!!
Ndoa changa unalalamika Nini na huna mimba Wala mtoto mfanyakazi wa nini???? Huo no muda wa kupeana mahaba... Mwanaume ukimshika vizuri mbona anapika , anafua yaani atafanya chochote akufurahishe wamama wa kisasa punguzeni uvuvi!!!! Anaangalia movie hebu vua nguo vaa kimtandio au kinguo cha mtego kamuinamie hapo uone Kama ataangalia hiyo movie... Mpe gemu part one halufu mkimaliza unamchukua bafuni mnaoga unampa gemu mnato mkimaliza mnajisafisha uone Kama hatakusaidia.... Ndoa inataka ubunifu japo mwanaume haridhiki.
Umenidindisha Vibaya Mnoo😋😋😋
 
Back
Top Bottom