Huwa mnachukulia simple sio simple kama unavyoongea hapa. Jaribu wewe kufanya hizo kazi kwa wiki moja tu halafu uje hapa kuleta mrejesho.
Pia kumbuka.kwamba na yeye anaenda kazini.
Alichotakiwa kufanya ni kuachana na hiyo ndoa maana huyo muwewe hatabadilika, wanaume wa kiafrika wakishaoa tu wanageuka kuwa viwete. Hata kunawa mikono sink linaweza likawa hapo lkn akataka uje na maji kumnawisha.
Au kama vipi angeolewa na mzungu, wazungu wengi wanasaidia wake zao kazi za ndani.
Ukishaolewa na muafrika hasa mtanzania usitegemee kusaidiwa chochote.