Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

Halafu sasa wanaongea kana kwamba ni kazi za kufanya siku mbili au tatu kwa week wakati ni lifetime responsibility wajiulize wakati wanakaa geto au kwao ni mara ngapi wamepiga deki, kufua, kupika au kuosha vyombo. Kujua kitu kuwa ni rahisi au kigumu ni wewe binafsi ukifanye ila sio kutamka kuwa ni rahisi wakati hukifanyi na hutaki kukifanya. There's no award for suffer wanaija wanasema.
Wanataka mke perfect...apike, afue, afanye usafi wa nyumba, wa mume, wa watoto, asimamie watoto kwenda shule, usalama wao, homeworks. Na yeye pia ukute ameajiriwa au kajiajiri binafsi...hapo hapo awe na muonekano mzuri msafi asiyefubaa.
Mume yeye ni kwenda kazini na kurudi, akae kwenye kochi na simu yake hadi usingizi utakapomchukua. Inakera kiukweli.
Ila ndo hivyo unapaswa kukubaliana na hayo yote kabla hujaolewa.
 
Jamaa fala sana anarudi vipi home saa 12 jion
Mida ya baba kurudi ni tatu mpaka nne (ila usiwe huna hela sasa)

NB
Ndoa na Dini ni utapeli !!


Dini Ndio utapeli NDOA ni hali na Sio mali


NDOA na dini ni vitu viwili tofauti kabisa ni vile DUNIA inavifanya vionekane kama vinashabihiana hivi that why walimwengu mnaona kama NDOA ni utapeli something wrong
 
Vijana oeni wanawake ambao watakua submissive na kua tayari kua mama wa nyumbani!

Mnaona changamoto za kuoa wafanyakazi? Unarudi zako nyumbani bidada anakuambia, "Baby piga deki halafu nisaidie kuosha vyomba pale kwenye sink!"... Aaargh!!!
Mi nashauri kama mwanaume unajiweza mfungulie biashara mke wako aachane na mambo kuajiriwa au kuwa mama wa nyumbani atleast biashara hawezi kosa muda wa kuhudumia familia labda kama hajaamua.
Hakuna mwanamke anayeweza kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja ni ngumu.
 
Nadhani kabla ya ndoa alipewa semina, hapo akubali tu ameshaingia kwenye ndoa na hizo ndio changamoto zenyewe Mimi mfanyakazi kwenye ndoa mpya siafiki kabisa.
Inategemea amepewa semina na nani, akipewa semina na hii supa woman lolote linaweza kutokea😌
1000017540.jpg
 
Inategemea amepewa semina na nani, akipewa semina na hii supa woman lolote linaweza kutokea😌View attachment 3180830


Uyu mmama zamani alikuwa mtu poa sana, alikuwa na kipindi chake channel ten kilikuwa kinaitwa mbiu ya mnyonge kama sijakosea, Sijui Nini kilitokea hadi akajiingiza katika harakati za ufeminist na kuwa adui mkubwa wa mpango wa MUNGU i.e NDOA?
 
Huwa mnachukulia simple sio simple kama unavyoongea hapa. Jaribu wewe kufanya hizo kazi kwa wiki moja tu halafu uje hapa kuleta mrejesho.

Pia kumbuka.kwamba na yeye anaenda kazini.
Alichotakiwa kufanya ni kuachana na hiyo ndoa maana huyo muwewe hatabadilika, wanaume wa kiafrika wakishaoa tu wanageuka kuwa viwete. Hata kunawa mikono sink linaweza likawa hapo lkn akataka uje na maji kumnawisha.

Au kama vipi angeolewa na mzungu, wazungu wengi wanasaidia wake zao kazi za ndani.
Ukishaolewa na muafrika hasa mtanzania usitegemee kusaidiwa chochote.
Demi ntakukata mabao sasahivi hebu rudi ndani haraka uniletee maji ya kunywa acha kupigizana kelele!
 
Uyu mmama zamani alikuwa mtu poa sana, alikuwa na kipindi chake channel ten kilikuwa kinaitwa mbiu ya mnyonge kama sijakosea, Sijui Nini kilitokea hadi akajiingiza katika harakati za ufeminist na kuwa adui mkubwa wa mpango wa MUNGU i.e NDOA?
Alipata frustrations akaamua kuwa mwanaharakati...when life gives you lemons make lemonade
 
Awe ananua chips na kidari cha kuku anarudi nazo nyumbani wanakula.
 
Tumpe ushauri huyu dada
Huyo dada kaingilia majukumu yasiyo yake. Mwanaume atakula kwa jasho kwa maana ya kwamba apigike atafute pesa kumtunze mke wake na watoto wake. Mwanamke yeye kazi yake ni kuzaa kwa uchungu na kupika. Hii nayo ni laana wanawake kuwa bize kutafuta hela na kula kwa jasho huku kuzaa kwa uchungu kukibaki pale pale
 
Back
Top Bottom