Ushauri: Dada yupo kwenye ndoa miezi miwili sasa anaona ndoa kama utumwa

Kumbe ukiachana na likes huwa unatoa comments za kibabe🤣

Inategemea amepewa semina na nani, akipewa semina na hii supa woman lolote linaweza kutokea😌View attachment 3180830
Hizo kucha umwambie afue ataweza,, nadhani msingi wa binti kuweza kupambana na changamoto na maisha ya ndoa unaanzia nyumbani kwa wazazi binti alie lelewa vizuri akiwasikia hao masupa woman atawasikiliza na kuchuja mazuri na Yale yasiofaa atawaachia masupa big wapambane nayo....
 
Taratibu mkuu.Mimi nasubiri matokeo ya "fomtu"!
 
Ni Kama umemaliza nilichotaka kusema,lkn ni kwamba uyo dada ni mvivu tu,,au haonaje aache kazi,ili awe mama wa nyumbani!!, suluhisho hilo laweza kuwa zuri lkn inategemea uyo binti kalelewaje uko alikotoka?au umpe contact akuone ana kwa ana umpe hilo darsa,kuweka mfanyakazi kwaweza vunja ndoa kabisaaa,wasijaribu.
 
Huyo mdada hajui maana ya maisha. Malezi yake ndiyo chanzo cha matatizo yake na atavunja ndoa kijinga. Hajui namna ya kumu handle mwanaume. Kwa kawaida hakuna mwanaume eti useme umechoka akusaidie kupika, hayupo! Anachopaswa kufanya awe na ma love 💕 dovaaaa kibao na ampe husbund kukata vitungu yaani kiutani utani. Lakini pia wali awe na rice cooker na maisha yataenda. Ila kutegemea ukoloni atachemsha
 
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko mwanamke kutoa kipato chake kwa ajili ya familia.
Huyo dada nae ameajiriwa anafanya kazi. Kama mshahara wake unasaidia majukumu ya nyumbani basi anatakiwa kusaidiwa kazi za nyumbani.
 
Tatizo ukianza tu kuosha vyombo,utaosha mpaka uzee wako,msaada utageuka kuwa mzigo,yakheri mapema ijulikane kwamba wewe hizo mambo huziwezi
Kosa la huyo jamaa ni kurudi saa12, ratiba ya kurudi home kwa mwanaume haipo fixed. Ila kusaidiana kazi ni kitu kizuri, kinaleta bond na kuhamasisha mapenzi. Muhimu ni kupangiana, tusupangiwe coz hata wao vipato vyao hatuwapangii
 
Hiyo ndoa haina maisha marefu, wanaume muwasaidie wake zenu pale wanapohitaji msaada! Wote wanarudi wamechoka! Na sio mwanaume ajifanye anachoka ,zaidi ya mwenzake!
 
Kazi nizifanye mara ngapi. Sijaoa ila naweza kupika mwenyewe, kufua, kudeki, kuosha vyombo yani sifanyiwi kazi na dada au mama wa kulipa.
Mademu zangu wenyewe wakija sometimes kama naona wataniharibia mapishi huwa najipikia mwenyewe niwalishe maana nina mademu kadhaa viazi hawajui kupika.

Tukishirikiana kuosha vyombo basi na mshahara au mapato yote tuweke mezani tuyapangie matumizi. Kama uzungu iwe uzungu kweli, sio uzungu kwenye kusugua masufuria ila kwenye mshahara mke aseme "hela ya mwanamke usiipangie matumizi". Si bora aache kazi sasa.
 
dah wakujengee sanamu pale siti senta
 
Tatizo siyo wote kuwa wafanyakazi, tatizo ni mshahara wa upande mmoja tu ndo unapigiwa bajeti ya kulisha familia. Kama mishahara ikitoka yote inawekwa mezani kugawanywa kwa ajili ya kuendesha familia yupo sahihi
 
Mambo ya KUBUM KUBAM, ni mwendo wa kwangu kwako, kwangu kwako. Bandika bandua, funika funua... Mnahama viwanja tu, sebuleni, ngoma inahamia bafuni, kisha kitandani mnamalizia.

Sharti la gemu unaipiga ile vizuri, ukimaliza mwanamke apitiwe usingizi mzitooooo, ama akibahatika kuinuka kwenda chooni basi alalamike miguu haina nguvu.
Hapo kidume, bichwa linakuwa kama dumu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…