Huyo mwanamke ni mpumbavu tu.
There is more solutions to that issues.
1.Kuajili dada wa kazi
2.Kula migawani wakihisi wamechoka
Ninachokiona hapo, anaumia kuona mumewe kapumzika anaangalia TV sebuleni wakatu yeye anafanya kazi.
Na hiyo ndoa itamshinda