DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
Nafikiri kuna namna hujanielewa, yaani wana jf wote wanajifanya kwamba wako na mishe za kueleweka na za maana. kwa hiyo nimeandika kwa utaniJF ya kila mtu boss hata Melo anapoona ongezeko la users anafurahi...
Wambulu pamoja na uzuri wao, wanachoka mapema sana. Jichanganye uoe Mbulu umzalishe alafu usimpe matunzo.Umenena......Kuna "kisebule" changu huwa napoa karibu na home baada ya mishe mishe zangu basi bwana mwaka jana mwanzoni wakatuletea kitoto kidogo kutoka huko mbulu, mtoto kanyooka balaaa, kifua kinaita chuchu saa sita, huko nyuma kafungasha hatariii, mtoto nyama nyingiiiii, basi bwana habari zikawafikia wakware, wakawa hawakauki "sebuleni" kwetu mtoto demand ikawa kubwa offer za beer za kutosha binti akatoka kunywa Serengeti lite akaamia kwenye windhoek, Savannah kama huna offer yake ya Savannah tatu, nne basi usijiangaishe, watu wakawa wanapanda dau, akataka macho matatu wakware wakanunua.
Mtoto akazidi kupendeza , sifa na uzuri wake zikavuma mpaka anga za mbali, wadau na wakware maarufu wakahamia sebuleni kwetu na kuweka kambi mpya, sebule yetu ikaanza kuonekana ndogo, hata sisi wenyeji ikabidi tuanze kunywa kwenye seat za gari, pesa ikamwaga mtoto akaanza kumwaga utamu Kama hana akili nzuri, mji ukamchanganya, pesa zikamlevya.
Well to make a story short now ni mwaka mmoja umepita, mtoto wa watu kachuja vibaya Sana, wakware wamemchakaza vibaya Sana, kakosa nuru, nadhani ana udongo mbaya huyu binti maana imekuwa haraka mno, masikini hata kile kifua kizuri Cha mvuto hakipo tena, kachoka masikini, kachunda, habari za hapa sebuleni Ni kuwa binti kaukwaa, wengine wanasema ametoa mimba vibaya, maneno ya binadamu ni mengi hata wale wakware wamemkimbia na kuamia bar nyingine wenyeji tumebaki sebuleni kwetu kwakuwa ndio nyumbani, Sasa hata tunakaa kwa amani, ooh nimesahau mrembo wetu amerudi kwenye Serengeti lite now zile Savannah hakuna tena.
😂😂😂 Wakware huwezi wazuia kwa kutaja bei kubwa.Sisi wenyeji wa sebule huwa tunajipakulia minyama zile siku tatu mpaka wiki mrembo anapofika sebuleni kabla wakware hawajaja 😅😅
Me nadhani hakuna sababu ya muhimu mtu kuficha economic activities zako so long as zinakuweka mjini. Ni vijana wadogo tu ndo wana hizo tabiaNafikiri kuna namna hujanielewa, yaani wana jf wote wanajifanya kwamba wako na mishe za kueleweka na za maana. kwa hiyo nimeandika kwa utani
Nipe code mkuu ili nije nimfarijiUmenena......Kuna "kisebule" changu huwa napoa karibu na home baada ya mishe mishe zangu basi bwana mwaka jana mwanzoni wakatuletea kitoto kidogo kutoka huko mbulu, mtoto kanyooka balaaa, kifua kinaita chuchu saa sita, huko nyuma kafungasha hatariii, mtoto nyama nyingiiiii, basi bwana habari zikawafikia wakware, wakawa hawakauki "sebuleni" kwetu mtoto demand ikawa kubwa offer za beer za kutosha binti akatoka kunywa Serengeti lite akaamia kwenye windhoek, Savannah kama huna offer yake ya Savannah tatu, nne basi usijiangaishe, watu wakawa wanapanda dau, akataka macho matatu wakware wakanunua.
Mtoto akazidi kupendeza , sifa na uzuri wake zikavuma mpaka anga za mbali, wadau na wakware maarufu wakahamia sebuleni kwetu na kuweka kambi mpya, sebule yetu ikaanza kuonekana ndogo, hata sisi wenyeji ikabidi tuanze kunywa kwenye seat za gari, pesa ikamwaga mtoto akaanza kumwaga utamu Kama hana akili nzuri, mji ukamchanganya, pesa zikamlevya.
Well to make a story short now ni mwaka mmoja umepita, mtoto wa watu kachuja vibaya Sana, wakware wamemchakaza vibaya Sana, kakosa nuru, nadhani ana udongo mbaya huyu binti maana imekuwa haraka mno, masikini hata kile kifua kizuri Cha mvuto hakipo tena, kachoka masikini, kachunda, habari za hapa sebuleni Ni kuwa binti kaukwaa, wengine wanasema ametoa mimba vibaya, maneno ya binadamu ni mengi hata wale wakware wamemkimbia na kuamia bar nyingine wenyeji tumebaki sebuleni kwetu kwakuwa ndio nyumbani, Sasa hata tunakaa kwa amani, ooh nimesahau mrembo wetu amerudi kwenye Serengeti lite now zile Savannah hakuna tena.
Wewe hukuonja asali yake?..daah umeme tena?..sad.Umenena......Kuna "kisebule" changu huwa napoa karibu na home baada ya mishe mishe zangu basi bwana mwaka jana mwanzoni wakatuletea kitoto kidogo kutoka huko mbulu, mtoto kanyooka balaaa, kifua kinaita chuchu saa sita, huko nyuma kafungasha hatariii, mtoto nyama nyingiiiii, basi bwana habari zikawafikia wakware, wakawa hawakauki "sebuleni" kwetu mtoto demand ikawa kubwa offer za beer za kutosha binti akatoka kunywa Serengeti lite akaamia kwenye windhoek, Savannah kama huna offer yake ya Savannah tatu, nne basi usijiangaishe, watu wakawa wanapanda dau, akataka macho matatu wakware wakanunua.
Mtoto akazidi kupendeza , sifa na uzuri wake zikavuma mpaka anga za mbali, wadau na wakware maarufu wakahamia sebuleni kwetu na kuweka kambi mpya, sebule yetu ikaanza kuonekana ndogo, hata sisi wenyeji ikabidi tuanze kunywa kwenye seat za gari, pesa ikamwaga mtoto akaanza kumwaga utamu Kama hana akili nzuri, mji ukamchanganya, pesa zikamlevya.
Well to make a story short now ni mwaka mmoja umepita, mtoto wa watu kachuja vibaya Sana, wakware wamemchakaza vibaya Sana, kakosa nuru, nadhani ana udongo mbaya huyu binti maana imekuwa haraka mno, masikini hata kile kifua kizuri Cha mvuto hakipo tena, kachoka masikini, kachunda, habari za hapa sebuleni Ni kuwa binti kaukwaa, wengine wanasema ametoa mimba vibaya, maneno ya binadamu ni mengi hata wale wakware wamemkimbia na kuamia bar nyingine wenyeji tumebaki sebuleni kwetu kwakuwa ndio nyumbani, Sasa hata tunakaa kwa amani, ooh nimesahau mrembo wetu amerudi kwenye Serengeti lite now zile Savannah hakuna tena.
Nilipita mapema mno kwa speed ya light.Wewe hukuonja asali yake?..daah umeme tena?..sad.
Watu mna moyo, huogopi??Nipe code mkuu ili nije nimfariji
Wakware wakitaka Jambo lao hamna namna utawazuia😂😂😂 Wakware huwezi wazuia kwa kutaja bei kubwa.
Kama yaliyomo yamo kuna washenzi hawaoni shida kuhonga kiwanja.
Kumbe ndio asili yao?Wambulu pamoja na uzuri wao, wanachoka mapema sana. Jichanganye uoe Mbulu umzalishe alafu usimpe matunzo.
Hii bank Ina makati sijawahi ona....Kwa mwaka wanakata zaidi ya shs 68,000 hata kama hujafanya transaction...Bora uweke pesa yako Equity au UTT angalauUmeshauri vizuri uwekezaji wa kwanza uwe kufungua account NBC Kisha kuweka hela kidogokidogo baada ya miaka miwili huenda akawa na mtaji wa kuanzia
😄😄 Mechi saa ngap?Ngoja niende nikacheki zangu Euro💶 bar Nikasafishe na macho kwa warembo.
Hii mbinu inawapa sana hela wote, meneja anaweza kuondoka naa 50k ya mikataba ya wahudumu na wahudumu wakaondoka na maokoto ya kutosha kulingana walivyo. Chunguza baa nyingi wahudumu wakiwa off(siku ya kupumzika) bado atakuja hapo bila kuwa na sare ya kazi. Kumbe anatega mingo.Kuna bar nilienda, wakati pombe zimeshapanda nikavutiwa na mhudumu. Sikuwa na maneno mengi maana meza ilikuwa inajieleza na yeye akanipa namba.
Sasa ile nimepiga akapokea mwanaume, nikakata bila kuongea.
Nikamwita tena nikamwuliza umenipa namba sahihi kweli? akaangalia akasema ni sahihi.
nikasema sasa mbona anapokea mwanaume? akasema huyo ndio meneja wa bar. Kama unanitaka unampa yule 10,000 cash halafu tunaelewana bei na mimi tunaondoka na ukishamaliza haja mkataba umeisha.
Yaani hiyo 10,000 unakuwa kama umevunja mkataba wa mchezaji.
Ukitaka free agent subiri mpaka bar ifungwe saa 6 usiku ndio uondoke naye.
Yaani siku hizi malaya wanapiga pesa wamejishikiza bar na mameneja wamekuwa kama mameneja wa wachezaji wanakula pesa ya udalali kiulaini tu.