USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

Hii mbinu inawapa sana hela wote, meneja anaweza kuondoka naa 50k ya mikataba ya wahudumu na wahudumu wakaondoka na maokoto ya kutosha kulingana walivyo. Chunguza baa nyingi wahudumu wakiwa off(siku ya kupumzika) bado atakuja hapo bila kuwa na sare ya kazi. Kumbe anatega mingo.
Kumbe unawajua! Ndio maana kuna siku nikaenda kuna mhudumu nimemkuta pale nikamwambia aniletee bia akasema yupo off haendi countel labda amwagize mwenzake. Nikamwuliza unaingia saa ngapi akasema leo siingii kabisa.

Nikamdaka kama free agent nikaondoka naye ila njiani kuna vitu vingi sana nilifikiria, tukaishia tu bar fulani tukala ktmt nikampa 5k arudi nilimdanganya nina dharura.
 
Huu ni upendo.
Umeshauri vyema
Mkuu unaumia ukona watu walikua na maisha flan classic afu leo wamechoka. Miaka ya 2012 niliwahi kumpa mmoja ofa atafute biashara anayotaka aniambie nimpe msingi lakini yule ba maid asee aliona maisha ya baa matamu. Nilimpenda sababu alikua mtamu nikajipigia nikaacha kwa sasa anatia huruma. Nikichunguza ni wengi sana wanafanya vibiashara vya ajabu baada ya kuchuja kwenye soko.
 
Ukimtongoza anadengua huyo! baada ya mienzi mitatu mwanaume ambaye alikuwa nae hayupo nae tena anaanza kufubaa tena. nawashuri wawekeze kama mtoa mada anavyoshauri
Ushauri huo ni wa muhimu kwao kufuata. Ni hali ya maisha inawafanya kuishi hivyo lakini wajiongeze, ni wachache sana wanaowekeza. Wengi hela zinaishia kwa boda.
 
Mshahara laki moja kwa mwezi, elf 60 inaishia kwa bodaboda iliyobaki kodi ya nyumba, kula nk
Atawekeza kweli hapo. Na kuna bar zingine hawalipi mshahara kabisa, wanatoa sehemu ya kulala na chakula cha mchana tu
Wanaweza kupata zaidi ya 30k ni bila kugusa mshahara, kwa mwezi ni ngap?
 
Hii mbinu inawapa sana hela wote, meneja anaweza kuondoka naa 50k ya mikataba ya wahudumu na wahudumu wakaondoka na maokoto ya kutosha kulingana walivyo. Chunguza baa nyingi wahudumu wakiwa off(siku ya kupumzika) bado atakuja hapo bila kuwa na sare ya kazi. Kumbe anatega mingo.
Baa nyingi mshahara kwa wahudumu inapatikana kwa njia hiyo
 
Back
Top Bottom