USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

Pesa unayoipata kwa njia haramu huwa haizai matunda mazuri na mwisho wake huwa ni umauti wa kiroho kisha wa kimwili.

Kazi ya kuhudumia watu Bar huwa ni haramu ndio maana anaefanya hiyo kazi hata akisomesha watoto awabadilishie maisha watoto huwa na tabia za ajabu na hawataweza kuwa na ndoa imara na mwisho wake na wao hauishia kwenye shimo la umalaya, magonjwa ya zinaa, na kutokukubalika kwenye jamii.

Imagine ukutane na binti mzuri ila unakuja kujua mama yake ni Barmaid mstaafu, utaweza endelea nae hata kama ni binti mstaarabu na wewe unatokea familia decent ambayo ina reputation nzuri uraiani na kwenye jamii? [emoji848]

Nadhani its better kuiepuka hii kazi kwa gharama zote na kwa mbinu zote. Maana mwisho wake huwa si mzuri na huwa inaleta mikosi mingi sana.
 
Huu ni uongo.
 
Duh! Aisee 🤔
 
Wengi wao pia ni positive, ukidanganyika na vile visuruali vyeusi kubana makalio watch out
Kuna mmoja age kama 19 au 20 hivi nilimwomba uchi, baada ya makubaliano nikamwuliza tunapiga show kavu au ndom? Akasema uamuzi wako tu.
Yaani anajiamini haogopi kabisa ngoma.
 
Sio madada poa rfk
Ni wadada wote wa Kila aina

Nina marafiki wanahangaika kujichanga wanunue hiyo
Wamepata kazi ya utendaji tu ila wanahangaika kuipata hiyo cm
Ndio huko kuiga cha ajabu wengine hata kwenye matumizi ni shida.

Brand inawazuzua sana wengi. Wengi wanafanya mambo ya ajabu ili tu waweze kumiliki tunda.
 
Samahani mkuu, wewe ni dizasta vina...maana ndio usimuliaji wake huu.
 
Imagine ukutane na binti mzuri ila unakuja kujua mama yake ni Barmaid mstaafu, utaweza endelea nae hata kama ni binti mstaarabu na wewe unatokea familia decent ambayo ina reputation nzuri uraiani na kwenye jamii?
Usimuhukumu mtu kutokana na makosa ya wazazi wake au background chafu ya mzazi haipaswi kumuhukumu mtoto. Huenda alifanya hiyo kazi kwa kukosa options lakini akajiwekeza na kutoboa.

Kuwa barmaid mstaafu lakini ushabadilika sio dhambi, hata kahaba anaweza kusamehewa ikiwa atatubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…