Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Mtu akikuchanyanya unamuacha tu mwisho wa siku mbivu na mbichi itajulikana tu!
Yeah japo sikutoka kwa urahisi pale
Akili ilikuwa haiwazi maendeleo wala ajira
Nlikuwa nimefunikwaa namuona mzee kijana tu
Halafu watu wanapiga kelele hivi 47 years kwa mwanaume unadhan inaonekana sana kama mtu mzima?? Maana hata mvi alikuwa hana
 
Ilitoka bahat mbaya

Ooh!

Pole nakumbuka nishawahi soma comment yako kama hii ila sikujua ni bwana huyu...

Kama hauna watoto naye, ni vyema zaidi kwani hakuna sababu kubwa kihivyoooo ya kurejea kwake...

Focus na maisha yako, kimbizana kurejesha ulivyovipoteza...

Kumbuka tu kuwa muda haurudi nyuma, kilichotokea nyuma ni somo kwa sasa
 
Ningekuwa na dada mwenye akili kama za mleta mada ningesha muuza kwa wachawi!
Haya wewe mwenye dada mwenye akili nyingi hongera sana. Ila hizo akili nyingi za dadako zimeifanyia nini tanzania japo umasikini ukapungua ? Achana na umasikini ngazi ya taifa...hapo kwenu tu zimewaongezea nini zaidi ya kunyanduliwa tu? Si bora mimi hata mahari mamangu alikula kabla hajafa
 
Ooh!

Pole nakumbuka nishawahi soma comment yako kama hii ila sikujua ni bwana huyu...

Kama hauna watoto naye, ni vyema zaidi kwani hakuna sababu kubwa kihivyoooo ya kurejea kwake...

Focus na maisha yako, kimbizana kurejesha ulivyovipoteza...

Kumbuka tu kuwa muda haurudi nyuma, kilichotokea nyuma ni somo kwa sasa
Hahaha kwan unajua mabwana wangu wangapi kaka mzuri?
 
Nimevumilia kusoma yote, nasikitika sana maana wewe unaweza kuwa Dada yangu.

Unawezaje kutupa future prospect ya kuwa na familia yako ya Furaha na kurudiana na mtu kama huyu?

Hemu be respectful to your Mother and allow her to enjoy huko aliko kwa kutorejea kwenye hicho kifungo cha mateso.

1. Hajakutafuta, wewe umeenda mkoa alipo yeye?
2. Umefuata nini kwa rafiki zake? Una shida wewe.
3. Marafiki zake wakakwambia akikuona atatubu.....

Ni shida sana ukijiona wewe ni mrembo sana na ukapewa bichwa, utaharibu future kizembe...
Sidhani kama ni mrembo ila nadhani anajua kupangilia mavazi.
 
Wee shoust hebu achana na huyo mzee, akikazana mfanye mchepozi umchunee kisawasawa,

Lakini Moyo ni wako, fuata unachotakaaa.
 
Yaani ninekushangaa kweli jinsi unavyokomaa na J wako swali moja kwako ukija kuzaa naye watoto watamuita babu au baba? Endelea kulazimisha penzi kwa J
Me mwenyewe nlikuwa namtania namuita babu (alikuwa ananuna hatari)
Ila na ww umri huo hata kustaafu bado japo kweli alinizidi pakubwa
 
Haya wewe mwenye dada mwenye akili nyingi hongera sana. Ila hizo akili nyingi za dadako zimeifanyia nini tanzania japo umasikini ukapungua ? Achana na umasikini ngazi ya taifa...hapo kwenu tu zimewaongezea nini zaidi ya kunyanduliwa tu? Si bora mimi hata mahari mamangu alikula kabla hajafa
Wewe kichwani ni sifuri!
Level yako ni wazee hao hao ambao akili zimesha jichokea kama wewe mwenyewe .
 
Hivi nyie mnaokuja hapa kunitukana mmeitwa au ni ge....nye tu zinawasumbua?
Ukishaona hoja haikuvutii unapita tu kisela sio lazima uweke kambi.
Mnaonesha ni jinsi gani maisha yenu yananuka stress
 
Back
Top Bottom