Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Mtu akikuchanyanya unamuacha tu mwisho wa siku mbivu na mbichi itajulikana!! Tena kama hamjazaa ni dakika sifuri hakuna kujiuliza !Nilimuacha sababu ya mateso
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akikuchanyanya unamuacha tu mwisho wa siku mbivu na mbichi itajulikana!! Tena kama hamjazaa ni dakika sifuri hakuna kujiuliza !Nilimuacha sababu ya mateso
Yeah japo sikutoka kwa urahisi paleMtu akikuchanyanya unamuacha tu mwisho wa siku mbivu na mbichi itajulikana tu!
Ilitoka bahat mbaya
Haya wewe mwenye dada mwenye akili nyingi hongera sana. Ila hizo akili nyingi za dadako zimeifanyia nini tanzania japo umasikini ukapungua ? Achana na umasikini ngazi ya taifa...hapo kwenu tu zimewaongezea nini zaidi ya kunyanduliwa tu? Si bora mimi hata mahari mamangu alikula kabla hajafaNingekuwa na dada mwenye akili kama za mleta mada ningesha muuza kwa wachawi!
Hahaha kwan unajua mabwana wangu wangapi kaka mzuri?Ooh!
Pole nakumbuka nishawahi soma comment yako kama hii ila sikujua ni bwana huyu...
Kama hauna watoto naye, ni vyema zaidi kwani hakuna sababu kubwa kihivyoooo ya kurejea kwake...
Focus na maisha yako, kimbizana kurejesha ulivyovipoteza...
Kumbuka tu kuwa muda haurudi nyuma, kilichotokea nyuma ni somo kwa sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yeah
Ni mtu mzima kisheti
Ndo usome ushauri
Sidhani kama ni mrembo ila nadhani anajua kupangilia mavazi.Nimevumilia kusoma yote, nasikitika sana maana wewe unaweza kuwa Dada yangu.
Unawezaje kutupa future prospect ya kuwa na familia yako ya Furaha na kurudiana na mtu kama huyu?
Hemu be respectful to your Mother and allow her to enjoy huko aliko kwa kutorejea kwenye hicho kifungo cha mateso.
1. Hajakutafuta, wewe umeenda mkoa alipo yeye?
2. Umefuata nini kwa rafiki zake? Una shida wewe.
3. Marafiki zake wakakwambia akikuona atatubu.....
Ni shida sana ukijiona wewe ni mrembo sana na ukapewa bichwa, utaharibu future kizembe...
Yaani ninekushangaa kweli jinsi unavyokomaa na J wako swali moja kwako ukija kuzaa naye watoto watamuita babu au baba? Endelea kulazimisha penzi kwa JUsisome kama inakuchosha
Wapo watakaosoma...
Mbona story za umughaka mnasoma
Me mwenyewe nlikuwa namtania namuita babu (alikuwa ananuna hatari)Yaani ninekushangaa kweli jinsi unavyokomaa na J wako swali moja kwako ukija kuzaa naye watoto watamuita babu au baba? Endelea kulazimisha penzi kwa J
Wewe kichwani ni sifuri!Haya wewe mwenye dada mwenye akili nyingi hongera sana. Ila hizo akili nyingi za dadako zimeifanyia nini tanzania japo umasikini ukapungua ? Achana na umasikini ngazi ya taifa...hapo kwenu tu zimewaongezea nini zaidi ya kunyanduliwa tu? Si bora mimi hata mahari mamangu alikula kabla hajafa
Hujawahi niangushaaaaa😍😍😍!!!!Wee shoust hebu achana na huyo mzee, akikazana mfanye mchepozi umchunee kisawasawa,
Lakini Moyo ni wako, fuata unachotakaaa.