Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Achana naye huyo mdingi atakulostisha, umri wako unaruhusu utampata wa kufanana nae, laikni usisau maombi ni muhimu.
 
Kauli ya mzazi ambayo haiwezi kutanguliwa kwani hayupo tena ...itakusumbua sana
Leo una maneno mafupii
Hadi nakuogopa
Sitarudi amini nakwambia. Basi kuna muda naona kama siko sahihi najistukia
 
Sasa Best umekosa mwanaume wa Age yako mpaka uwaze kurudiana na huyo Mzee?

Bora hata tuongee nikusitiri kwa muda wakati ukitafuta wa kwako peke yako..
Kama

Me napenda wazee
 
Leo una maneno mafupii
Hadi nakuogopa
Sitarudi amini nakwambia. Basi kuna muda naona kama siko sahihi najistukia
Ni maneno mafupi tu mama lkn utafakari.
Ex harudiwagi.
Mtakulana na kuachana tena
 
Back
Top Bottom