moyo wa bilionea
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 327
- 649
My sister Nakadori hivi wadada huwa mnaangalia tofauti ya umri kama umempenda mwanaume kweli?Kweli ni mtu mzima
Ila angekuwa anajitambua wala nisingejali umri wake kabisaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My sister Nakadori hivi wadada huwa mnaangalia tofauti ya umri kama umempenda mwanaume kweli?Kweli ni mtu mzima
Ila angekuwa anajitambua wala nisingejali umri wake kabisaa
Na hayo mambo kwenye mapenzi ni kugusa tu huwa yanafanya kazi haraka na kwa ufanisi mkubwa mno.Sawa mwaya
Nahisi kuna ishu alicheza maana nilijisahau kabisa
Sawa Nakadori ila mimi nimeuliza in-general yaani kawaida yenu wadadaNinachojali ni amani ya moyo na kuoendwa tu kwakweli.
Hayo mengine yatajisoti yenyewe
Nilivyosoma hiyo sehem ya msibani imebidi nicheke, sio bure kuna namna alikutengenezaHaikuwa akili yangu
Nikikumbuka huwa najiona mjinga sana
🤣🤣🤣🤣Na hayo mambo kwenye mapenzi ni kugusa tu huwa yanafanya kazi haraka na kwa ufanisi mkubwa mno.
Ng'ombe hazeeki maini kuna mzee wa 56yrs kaoa bint 22yrs ni chombo haswa na binti kafa kaoza ananawiri tu tako linazidi ongezeka daily . Tunaoteseka ni sisi, mke wa mtu sumu.
Unavyoona binti ana Mapenzi ya kweli hapo mkuu Half american ?Na hayo mambo kwenye mapenzi ni kugusa tu huwa yanafanya kazi haraka na kwa ufanisi mkubwa mno.
Ng'ombe hazeeki maini kuna mzee wa 56yrs kaoa bint 22yrs ni chombo haswa na binti kafa kaoza ananawiri tu tako linazidi ongezeka daily . Tunaoteseka ni sisi, mke wa mtu sumu.
Mapenzi yanahangaisha rika zote huwa hayachagui japo kuna umri ukifikia unaamua wewe mwenyewe kwa kuruhusu yakuendeshe. Ni vizuri kutumia akili zaidi kuliko hisia ndio salama yetu.🤣🤣🤣🤣
Me angetulia wala niaingejali.
Lakini yule wala haonekani kama mkubwa...hana mvi maana mda wote ana upara... mwili wa kimazoez mzurii..
Kwani si wapo vijana pia wanaohangaika
KIUFUPI UKIONA MTU ANAOMBA USHAURI EITHER ARUDIANE AU ASONGE MBELE...BASI HUYO MTU USHAURI ATAKAOUELEWA HAPO NI KURUDIANA TU...Nimevumilia kusoma yote, nasikitika sana maana wewe unaweza kuwa Dada yangu.
Unawezaje kutupa future prospect ya kuwa na familia yako ya Furaha na kurudiana na mtu kama huyu?
Hemu be respectful to your Mother and allow her to enjoy huko aliko kwa kutorejea kwenye hicho kifungo cha mateso.
1. Hajakutafuta, wewe umeenda mkoa alipo yeye?
2. Umefuata nini kwa rafiki zake? Una shida wewe.
3. Marafiki zake wakakwambia akikuona atatubu.....
Ni shida sana ukijiona wewe ni mrembo sana na ukapewa bichwa, utaharibu future kizembe...
Hata ushauri wa mzazi pia unaweza kuwa challenged kwakuwa nae ni mwanadamu.Sasa kama ama alikushauri ina maana hujautilia maanani ushauri wa mama unakuja hapa unataka ushauri mwingine?
Duh had herufi kubwa?KIUFUPI UKIONA MTU ANAOMBA USHAURI EITHER ARUDIANE AU ASONGE MBELE...BASI HUYO MTU USHAURI ATAKAOUELEWA HAPO NI KURUDIANA TU...
HUYU HAJIWEZI NA ANAMPENDA BADO...ARUDI TU APAMBANE NA HALI YAKE...
Sina hakika ila mzee angekua hana uwezo kifedha sidhani kama ingewezekana.Unavyoona binti ana Mapenzi ya kweli hapo mkuu Half american ?