Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Unamuwezea kwa kipi?kama kweli una muwezea kwa nini alikusaliti tena ukiwa nae kingine huyo Mwanaume ana tabia tatu kwanza Mhuni,ana dharau pia si Mkweli kwako uchaguzi ni wako je utaweza kuvumilia kama utaamua kurudiana nae ni kwambie ukweli best huyo hawezi kamwe kubadilika.
Yani tabia zote anazo
Hivi unajua kumuweka mtu moyoni hadi kuamua akuoe ni jambo zito?? Maana yake umempenda hasa. Unadhan sikumpenda?
Kumtoa ninajaribu kumtoa sana tu ila kuna mda kama moyo unarudi nyuma.
Ila kwakweli simuwezi ndo maana nilishindwa
 
Kilichokufanya uondoke kwake mara ya kwanza ndiyo hicho hicho kitakufanya uondoke tena mara ya pili, tena I can guarantee this time maumivu yatakuwa makubwa kuliko, nyoka keshakuuma mara moja ilipaswa ushtuke hata ukiguswa tu na unyoya Nakadori..
Mwanadamu akishaona huna option nyingine zaidi yake hakuna rangi utaacha ona,
 
Hahaha option ninazo nyingi sana carleen
Hapa ishu ilikuwa mahari...nitaongea na wahusika hata niwapatie irudishwe niwe huru
 
Kweli ni mtu mzima
Ila angekuwa anajitambua wala nisingejali umri wake kabisaa
Sawa dada ila ni muhimu ukafocus mbele zaidi usiangalie kwa mda huu tu.
Ulimfata mwenyewe,marafiki zake ukawatafuta mwenyewe wakakupamba ukapambika,yeye sasa ulitaka asemeje zaidi ya kukuomba kurudiana,mboga ijilete alafu uiache?
Mapenzi yenye malengo kuna vitu kamwe sio vya kuhusisha,you need to think again la sivyo
 
Wewe hebu soma vizuri usipptoshe.
Sikuwah mtafuta mtu ni katika mizunguko tu nkaja Onana nae. Ni mji mdogo sana
Lakini pia kwenye ishu za kifamilia huwa anakuwepo mfano misiba
 
Hahaha option ninazo nyingi sana carleen
Hapa ishu ilikuwa mahari...nitaongea na wahusika hata niwapatie irudishwe niwe huru
Amani ikikosekana maisha huwa hayana maana, watu wanavunja ndoa za kanisani kabisa,
Utaratibu wa mahari sifahamu sana ila naamini watu wazima wanafahamu vyema, zungumza nao wakupe muongozo...
 
Dhana ya kwamba wewe mzuri unavutia iache kwenye mahusiano unaona umepigwa matukio na jamaa anatembea na wale unao waona wewe wa kawaida unaweza kuwa mzuri wa nje ila ndani hamna kitu.
Haha Nuzulati hapo umenichamba haswaaa
Sijasema mimi mzuri hebu nisome tena...
Nilisema nilivutia. Unaweza ukawa mbaya lakini ukawa na mvuto
 
Amani ikikosekana maisha huwa hayana maana, watu wanavunja ndoa za kanisani kabisa,
Utaratibu wa mahari sifahamu sana ila naamini watu wazima wanafahamu vyema, zungumza nao wakupe muongozo...
Yeah nitafanya hivyo
 
Mbona kama mwamba age imeshika hatamu mno, unaolewaje na mtu yuko 50s? Unless upo late 30s au 40s huko, lakini nahisi hata 30 hujafika.

Usirudiane na ex, huwa haviwi kama mwanzo tena na mtaachana tu.
 
Bado unampenda huyo mzee ila sio mtu sahihi kwako achana nae na umesema anapenda sana mambo ya kwa waganga jitahidi usiruhusu ukaribu nae. Yeye hana cha kupoteza

Umenishangaza ulivyofosi kwenda msibani😂
 
Na kweli alijua kunichakaza nilikosa tumaini nikawa namuona yeye tu.
Imagine alitaka kunihamisha nikaishi kijijini kabisa eti mjini gharama...vyeti vyangu wala sikuwa na muda navyo...
Sjui nililogwa kama wengi walivyosema?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana lakini kwa umri wake huyo J alitakikana awe ametulia na familia kabisa kwenye ujinga angekua ametoka.
Kama uko under 30 usirudiane nae Acha apite hivi na wewe Anza upya ila kama uko kati 35 unaweza kufikiri kumurudia ili mjenge familia.
 
Bado unampenda huyo mzee ila sio mtu sahihi kwako achana nae na umesema anapenda sana mambo ya kwa waganga jitahidi usiruhusu ukaribu nae. Yeye hana cha kupoteza

Umenishangaza ulivyofosi kwenda msibani😂
Haikuwa akili yangu
Nikikumbuka huwa najiona mjinga sana
 
Inaonekana unampenda na una sitasita kurudiana nae
Na Mimi nakuambia achana na huyo babu azeeke peke yake
Dedix
Mario-Dear x
 
Mkuu unanitoa machozi.....usimtaje mama yangu pls. Na kqa mdomo wake baada ya kuona nimeanza kaz aliniambia huyu mwanaume hakufai atakusumbua sana. Achana nae
Sasa why unataka kurudi egypty? Ndo mpenzi?
 
We shoga wa kisabato naona umefika tena hapa...hujapata basha wa kukupa haki yako eeh?
Hata nikimzidi miaka 20 wewe inakuhusu nini.
Kama anataka basha nipo hapa,nimlambe kona zote
 
Mkuu unanitoa machozi.....usimtaje mama yangu pls. Na kqa mdomo wake baada ya kuona nimeanza kaz aliniambia huyu mwanaume hakufai atakusumbua sana. Achana nae
Sasa kama ama alikushauri ina maana hujautilia maanani ushauri wa mama unakuja hapa unataka ushauri mwingine?
 
Back
Top Bottom