Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #81
Yani tabia zote anazoUnamuwezea kwa kipi?kama kweli una muwezea kwa nini alikusaliti tena ukiwa nae kingine huyo Mwanaume ana tabia tatu kwanza Mhuni,ana dharau pia si Mkweli kwako uchaguzi ni wako je utaweza kuvumilia kama utaamua kurudiana nae ni kwambie ukweli best huyo hawezi kamwe kubadilika.
Hivi unajua kumuweka mtu moyoni hadi kuamua akuoe ni jambo zito?? Maana yake umempenda hasa. Unadhan sikumpenda?
Kumtoa ninajaribu kumtoa sana tu ila kuna mda kama moyo unarudi nyuma.
Ila kwakweli simuwezi ndo maana nilishindwa