Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Sawa mwaya
Nahisi kuna ishu alicheza maana nilijisahau kabisa
Na hayo mambo kwenye mapenzi ni kugusa tu huwa yanafanya kazi haraka na kwa ufanisi mkubwa mno.

Ng'ombe hazeeki maini kuna mzee wa 56yrs kaoa bint 22yrs ni chombo haswa na binti kafa kaoza ananawiri tu tako linazidi ongezeka daily . Tunaoteseka ni sisi, mke wa mtu sumu.
 
Haha Nuzulati hapo umenichamba haswaaa
Sijasema mimi mzuri hebu nisome tena...
Nilisema nilivutia. Unaweza ukawa mbaya lakini ukawa na mvuto
Huyo Mwanaume kashapigwa matukio huko anataka kuja kupumzikia kwako hakupendi huyo anatafuta utam
 
Na hayo mambo kwenye mapenzi ni kugusa tu huwa yanafanya kazi haraka na kwa ufanisi mkubwa mno.

Ng'ombe hazeeki maini kuna mzee wa 56yrs kaoa bint 22yrs ni chombo haswa na binti kafa kaoza ananawiri tu tako linazidi ongezeka daily . Tunaoteseka ni sisi, mke wa mtu sumu.
🤣🤣🤣🤣
Me angetulia wala niaingejali.
Lakini yule wala haonekani kama mkubwa...hana mvi maana mda wote ana upara... mwili wa kimazoez mzurii..
Kwani si wapo vijana pia wanaohangaika
 
Unavyoona binti ana Mapenzi ya kweli hapo mkuu Half american ?
 
🤣🤣🤣🤣
Me angetulia wala niaingejali.
Lakini yule wala haonekani kama mkubwa...hana mvi maana mda wote ana upara... mwili wa kimazoez mzurii..
Kwani si wapo vijana pia wanaohangaika
Mapenzi yanahangaisha rika zote huwa hayachagui japo kuna umri ukifikia unaamua wewe mwenyewe kwa kuruhusu yakuendeshe. Ni vizuri kutumia akili zaidi kuliko hisia ndio salama yetu.
 
Nimevumilia kusoma yote, nasikitika sana maana wewe unaweza kuwa Dada yangu.

Unawezaje kutupa future prospect ya kuwa na familia yako ya Furaha na kurudiana na mtu kama huyu?

Hemu be respectful to your Mother and allow her to enjoy huko aliko kwa kutorejea kwenye hicho kifungo cha mateso.

1. Hajakutafuta, wewe umeenda mkoa alipo yeye?
2. Umefuata nini kwa rafiki zake? Una shida wewe.
3. Marafiki zake wakakwambia akikuona atatubu.....

Ni shida sana ukijiona wewe ni mrembo sana na ukapewa bichwa, utaharibu future kizembe...
KIUFUPI UKIONA MTU ANAOMBA USHAURI EITHER ARUDIANE AU ASONGE MBELE...BASI HUYO MTU USHAURI ATAKAOUELEWA HAPO NI KURUDIANA TU...

HUYU HAJIWEZI NA ANAMPENDA BADO...ARUDI TU APAMBANE NA HALI YAKE...
 
Sasa kama ama alikushauri ina maana hujautilia maanani ushauri wa mama unakuja hapa unataka ushauri mwingine?
Hata ushauri wa mzazi pia unaweza kuwa challenged kwakuwa nae ni mwanadamu.
Mbona mzazi anamkatalia mwanae kuolewa au kuoa mtu flani na watu wanashauri tofauti ?
Hapa ni kuangalia logic pia ambayo ukweli kwa hayo yote sipaswi kirudi huko
 
KIUFUPI UKIONA MTU ANAOMBA USHAURI EITHER ARUDIANE AU ASONGE MBELE...BASI HUYO MTU USHAURI ATAKAOUELEWA HAPO NI KURUDIANA TU...

HUYU HAJIWEZI NA ANAMPENDA BADO...ARUDI TU APAMBANE NA HALI YAKE...
Duh had herufi kubwa?
Sirudi mwana
 
Pole sana watu wanakwambia umuache Mzee halafu hawakupi alternative.
Njoo kwangu upate pumziko mtoto mzuri.
Hustahili kufanyiwa ubaya wa namna hiyo.
 
Huenda Dada naye ana umri karibiana na huo wa Mwamba.

Maana kwa Binti under 30 kuwaza kurudiana na Mbabu wa 50's ni nadra sana..
Haha sina umri wa mwamba
Kwa taarifa yako niko early 30. Ananipita na miaka kama 20 hivi
 
Back
Top Bottom