Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Usijareee nikitua mji kasoro tyuu ntakustuaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zawadi bado sijachukuaaa, naulizia kwan ni nini, ili nimtume mtu.
Uwiiiiih
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijareee nikitua mji kasoro tyuu ntakustuaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zawadi bado sijachukuaaa, naulizia kwan ni nini, ili nimtume mtu.
Uwiiiiih
Halafu hata sio ndefu kiivyo, nilichogundua wengi tunapenda kusoma caption. Nondo za kubadili fikra na kuongeza maarifa hupatikana kwenye mavolume ambayo wengi wetu hatupendi kuyasoma.Usisome kama inakuchosha
Wapo watakaosoma...
Mbona story za umughaka mnasoma
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]Miss you too deaaah!;
Watu weuweeeeeeeeee!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usijareee nikitua mji kasoro tyuu ntakustuaaa!!
Sidhani kama ni mrembo ila nadhani anajua kupangilia mavazi.
Usahau tu AntonniaMkuu ndio ukagoma kutupa walau Abc za ulichopondwa nacho na wanawake wahumu?????😊
Umesema kweli mkuuHalafu hata sio ndefu kiivyo, nilichogundua wengi tunapenda kusoma caption. Nondo za kubadili fikra na kuongeza maarifa hupatikana kwenye mavolume ambayo wengi wetu hatupendi kuyasoma.
Hii tabia ya kutosoma mambo mengi kwa mapana yake inatugharimu.
Povu ruksa.
Hujawa na hamu nao au ujataka kutengeneza hamu nao nikwamba tu haupo tayari kutengeneza penzi jipya na ikifika time unataka kutengeneza penzi jipya itakuwa too late utapata wa kukupiga na kutembea wasiwe na hisia na weweWanaume wengine ndo nliokosa ham nao after sex
Itakua mzee alijua kumkuna na kuhudumia piaaaa!! So Huko alipotembea hakutokea wa kumzidi mzee mtu mzima Ndiomana!!Hujawa na hamu nao au ujataka kutengeneza hamu nao nikwamba tu haupo tayari kutengeneza penzi jipya na ikifika time unataka kutengeneza penzi jipya itakuwa too late utapata wa kukupiga na kutembea wasiwe na hisia na wewe
😁😁 Yaishe leo nilichokoza pabaya😂😂
Basi yaishe sikukumbushi tena mkuu hahahaaa 🤭🤭!
Tuishi humohumo tu maisha ndio hayahayaaa!!😁😁 Yaishe leo nilichokoza pabaya
Jf women mnisamehe wife material wapo kumbe na wale matapeli wenye tamaa wapo pia Ila fresh tunaishi nao tu
SiNGLE AGAIN🔥🔥
Sikweli huyo mzee ni amekuwa nae muda mrefu kwahio ametengeneza portifolio ya penzi strong ambayo haiwezi kufanana na yeyote hii sio kwake tu ni kwamtu yeyote akiwa na na mahusiano na mtu asichotaka kuelewa yeye huyo mzee hana u special bali akiamua ku-move on akaja kumpa attention kijana mwengine na yeye akapewa attention kwa muda fulani atakuja kusema hapa kwanini sikumona huyu kijana mapema....somo dogo tu la mahusianoItakua mzee alijua kumkuna na kuhudimia piaaaa!! So Huko alipotembea hakutokea wa kumzidi mzee mtu mzima Ndiomana!!
Mapenzi upofu😂Tuishi humohumo tu maisha ndio hayahayaaa!!
Wacha tumshauri Huyu Mwamba anataka kurudisha majeshi kwa kizee chake seems huwa kinamkosha sana kunako kiasi cha kumfanya binti asiwe nahamu tena na wengine anaokutana nao!!
Sikweli huyo mzee ni amekuwa nae muda mrefu kwahio ametengeneza portifolio ya penzi strong ambayo haiwezi kufanana na yeyote hii sio kwake tu ni kwamtu yeyote akiwa na na mahusiano na mtu asichotaka kuelewa yeye huyo mzee hana u special bali akiamua ku-move on akaja kumpa attention kijana mwengine na yeye akapewa attention kwa muda fulani atakuja kusema hapa kwanini sikumona huyu kijana mapema....somo dogo tu la mahusiano