Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Usisome kama inakuchosha
Wapo watakaosoma...
Mbona story za umughaka mnasoma
Halafu hata sio ndefu kiivyo, nilichogundua wengi tunapenda kusoma caption. Nondo za kubadili fikra na kuongeza maarifa hupatikana kwenye mavolume ambayo wengi wetu hatupendi kuyasoma.

Hii tabia ya kutosoma mambo mengi kwa mapana yake inatugharimu.

Povu ruksa.
 
Ume miss mtwangio na matemate... hakuna kingine.
Kuna yule dada wa Mwanza baada ya missed call 41 akaenda kuwaona malaika naona ndio unachorudia.
 
Halafu hata sio ndefu kiivyo, nilichogundua wengi tunapenda kusoma caption. Nondo za kubadili fikra na kuongeza maarifa hupatikana kwenye mavolume ambayo wengi wetu hatupendi kuyasoma.

Hii tabia ya kutosoma mambo mengi kwa mapana yake inatugharimu.

Povu ruksa.
Umesema kweli mkuu
 
Wanaume wengine ndo nliokosa ham nao after sex
Hujawa na hamu nao au ujataka kutengeneza hamu nao nikwamba tu haupo tayari kutengeneza penzi jipya na ikifika time unataka kutengeneza penzi jipya itakuwa too late utapata wa kukupiga na kutembea wasiwe na hisia na wewe
 
Itakua mzee alijua kumkuna na kuhudumia piaaaa!! So Huko alipotembea hakutokea wa kumzidi mzee mtu mzima Ndiomana!!
 
😂😂
Basi yaishe sikukumbushi tena mkuu hahahaaa 🤭🤭!
😁😁 Yaishe leo nilichokoza pabaya
Jf women mnisamehe wife material wapo kumbe na wale matapeli wenye tamaa wapo pia Ila fresh tunaishi nao tu
SiNGLE AGAIN🔥🔥
 
Tuishi humohumo tu maisha ndio hayahayaaa!!

Wacha tumshauri Huyu Mwamba anataka kurudisha majeshi kwa kizee chake seems huwa kinamkosha sana kunako kiasi cha kumfanya binti asiwe nahamu tena na wengine anaokutana nao!!
 
Itakua mzee alijua kumkuna na kuhudimia piaaaa!! So Huko alipotembea hakutokea wa kumzidi mzee mtu mzima Ndiomana!!
Sikweli huyo mzee ni amekuwa nae muda mrefu kwahio ametengeneza portifolio ya penzi strong ambayo haiwezi kufanana na yeyote hii sio kwake tu ni kwamtu yeyote akiwa na na mahusiano na mtu asichotaka kuelewa yeye huyo mzee hana u special bali akiamua ku-move on akaja kumpa attention kijana mwengine na yeye akapewa attention kwa muda fulani atakuja kusema hapa kwanini sikumona huyu kijana mapema....somo dogo tu la mahusiano
 
Tuishi humohumo tu maisha ndio hayahayaaa!!

Wacha tumshauri Huyu Mwamba anataka kurudisha majeshi kwa kizee chake seems huwa kinamkosha sana kunako kiasi cha kumfanya binti asiwe nahamu tena na wengine anaokutana nao!!
Mapenzi upofu😂
Kuna moments akizikumbuka ana feel so happy na uyo mzee Jei Jei inabid arudishe majeshi nyuma tu yey anamuona Jei Jei husband material Ila Sasa mzee Jei Jei anamuona mwamba Kama..........
Naomba kuwasilishaa 🙏
 
Sikweli huyo mzee ni amekuwa nae muda mrefu kwahio ametengeneza portifolio ya penzi strong ambayo haiwezi kufanana na yeyote hii sio kwake tu ni kwamtu yeyote akiwa na na mahusiano na mtu asichotaka kuelewa yeye huyo mzee hana u special bali akiamua ku-move on akaja kumpa attention kijana mwengine na yeye akapewa attention kwa muda fulani atakuja kusema hapa kwanini sikumona huyu kijana mapema....somo dogo tu la mahusiano

Nakaziaaaaaaaaaaaaa

📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌📌!
 
Back
Top Bottom