USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

Nani ajuaye?
Ninaamini vipo hivyo vitabu.
Ungeanzisha Uzi kuulizia hivyo vitabu nafikiri wanaovijua watakutajiak

Nani ajuaye?
Ninaamini vipo hivyo vitabu.
Ungeanzisha Uzi kuulizia hivyo vitabu nafikiri wanaovijua watakutajia mwenye haki ya kuhumu ni mahakama

Nani ajuaye?
Ninaamini vipo hivyo vitabu.
Ungeanzisha Uzi kuulizia hivyo vitabu nafikiri wanaovijua watakutajia
 
Ukiona hadi kinatungwa kitabu kabisa cha kueleza mabaya basi mazuri yatakuwa mengi yatakuwa ndio yenye kujulikana zaidi ndio maana ukaonekana uhitaji wa kueleza na hayo mapungufu.
Mbona Nyerere Kuna kitabu kinaelezea ubaya wake. In fact vitabu vingi vya Rwanda na Uganda vinavyofundishwa shuleni vinamuweka Nyerere kama part of dictators Wala hakuna kinachosema ni mkombozi sijui whatever. Ndio sembuse JPM?
 
Mbona Nyerere Kuna kitabu kinaelezea ubaya wake. In fact vitabu vingi vya Rwanda na Uganda vinavyofundishwa shuleni vinamuweka Nyerere kama part of dictators Wala hakuna kinachosema ni mkombozi sijui whatever. Ndio sembuse JPM?
Ukizingatia ukweli kwamba kweli JPM alikuwa dikteta
 
Mbona Nyerere Kuna kitabu kinaelezea ubaya wake. In fact vitabu vingi vya Rwanda na Uganda vinavyofundishwa shuleni vinamuweka Nyerere kama part of dictators Wala hakuna kinachosema ni mkombozi sijui whatever. Ndio sembuse JPM?
Mbona kama umepanic!

Hiyo mifano yako ya Nyerere kwa kwa hao waganda sijui hata inaingiliana vp na nilichosema kuhusu kutungwa kitabu na watanzania chenye kueleza mabaya tu ya Magufuli.

Hoja yangu ni kwamba imeonekana mazuri mengi ya Magufuli yanajulikana ndio maana ukaonekana ulazima wa kutunga kabisa kitabu(kwa ajiri ya waafrika tena hasa watanzania) cha kueleza na upande wa mabaya yake.
Vipo vitabu vingi vyenye kumuelezea Nyerere ambapo utapata kumjua vizuri mazuri na mapungufu yake.
 
Mazuri yapi??? Mabaya 80%!!! ndo maana anaongewewa kwa yale mabaya ili isije kutukea mtu mwingine kama JMP aongoze tena taifa hili. Hii ndo maana inawekwa kwenye kitabu!!
 
Hoja yangu ni kwamba imeonekana mazuri mengi ya Magufuli yanajulikana ndio maana ukaonekana ulazima wa kutunga kabisa kitabu(kwa ajiri ya waafrika tena hasa watanzania)
Ndio nakueleza kwamba sio kwamba mazuri yanafahamika ila ni kwamba mabaya huwa hayasemwi huku Afrika especially kwa viongozi madikteta maana unaweza kamatwa au kuuwawa.

Na nimetoa mfano wa Uganda sababu huwa tunadhani sababu tuliwakomboa ndio wangempa credit ila wapi bado wanamuona dikteta Hadi Leo meaning mazuri hata yakiwepo hayawezi ficha mabaya Yako.

Hapa Tanzania vipo vitabu pia kimoja kilifungiwa kile cha kwaheri ukoloni, kwaheri uhuru!! Pia Kuna kile Cha muhaya mmoja hivi aliandika maovu ya Nyerere A to Z. So usitafsiri kwamba mazuri yanajulikana la hasha maovu hata yakiwa mengi kuliko mazuri huwezi yaongelea mbele ya Dikteta.
 
Kwa issue ya Magufuli yashaelezwa mengi mabaya yake hadi tumekinai na hadi sasa bado zoezi hilo linaendelea hivyo hicho kitabu ni muendelezo tu, kwa upande wangu labda nipate kitabu chenye kueleza mabaya ya hao viongozi wengine ili nipate kujua mabaya ambayo hayakuwa yakisemwa.
 
Mbona Nyerere Kuna kitabu kinaelezea ubaya wake. In fact vitabu vingi vya Rwanda na Uganda vinavyofundishwa shuleni vinamuweka Nyerere kama part of dictators Wala hakuna kinachosema ni mkombozi sijui whatever. Ndio sembuse JPM?
Kushtaki au kutoshtaki pale unapochafuliwa au ndugu yako anapochafuliwa ni hiyari ya wahusika hivyo kama hawa wanatafuta pesa kupitia mgongo wa kivuli cha mabaya ya magufuli lakini kama wangekuwa wanadhamira njema ya kuliponya taifa wangeeleza na mazuri yake Kwa Sababu rais ana Pande mbili wanaompenda na wanaomchukia.
 
Kwa hiyo Kwa ufinyu wa mawazo yako unaamini Ni lazima kitu chochote kizuri au kikubwa kifanyike mkoani TU, huduma mzuri zote ziwepo mikoani mawilayani hawastaiki majengo ya ghorofa,Lami,huduma za kibingwa,vifaa bora vya afya na NK, acha ujinga haya mambo JPM aliyakataa adharani na kusema tunaweza tukiamua.

Ni umaskini wa mawazo na umaskini WA fedha ndio unaotutesa Afrika, katika kitabu hicho mtu anachukia kuanzishwa mbuga ya Wanyama Chato /burigi. ambayo Ni Mali ya tanapa Ila anafurahia kubebwa Wanyama Kwa ndege kwenda uharabuni kutengeneza Serengeti ndogo kama sio uchizi ni nini.
 
 
Naomba uelewe mambo yafuatayo: rais Ni taasisi inalindwa kisheria ,inaruhusiwa kumkosoa rais akiwa madalakani lakini linapofika suala la tuhuma linamuhusu mtu binafsi ambaye ni mtu anayeongoza taasisi ya urais.

Sasa ikitokea mtu anafanyia biashara picha yako Kwenye kitabu kinachozungumzia mabaya yako TU, basi Pato la kitabu hicho linakuhusu wewe au familia yako,tuhuma zile haziwezi jibiwa Kwa kuwa aliyetuhumiwa ni mtu hivyo ingekuwa busara kueleza au kukifanya kitabu kionekane ni Mali ya umma Kwa kuulezea Kwa ujumla utawala wa magufuli katika Pande zote.

Kwangu Mimi wale wanachuki binafsi na lengo Lao Ni kutaka kutajilika na kupata sifa zisizowastaili Kwa kuupondea utawala uliopendwa na walio wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…