USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Alikuweka ngapiLegancy sijui ndo nini!
Au ulikusudia legacy.
Kama ni legacy basi hakuna alichofanya kidumu milele.
Yote alifanya yatafutika after 50yrs to come.
Labda mauaji ya Ben sanane
USSR
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuweka ngapiLegancy sijui ndo nini!
Au ulikusudia legacy.
Kama ni legacy basi hakuna alichofanya kidumu milele.
Yote alifanya yatafutika after 50yrs to come.
Labda mauaji ya Ben sanane
Sema bado yupo moyoni mwako.
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.
Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.
Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.
Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.
Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.
Ombi Kwa familia ya magufuli Kwa niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.
Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.
--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
wanatakiwa kushtakiwa kama hawakupewa ridhaa ya wanafamilia kutumia picha hiyo hilo liko very clear tuachane na uchabiki uchwara.hao wazilankende wanachuki binafsi ambayo haina maana kwa taifa hili.ni upuuzi uliopitiliza na waburuzwe tu mahakama ili sheria ichukue mkondo wake.Wakashtaki cover picha au maudhui ya kitabu? Washtaki kwamba picha ya public figure imetumika kwenye kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya public?
Vipi kama kitabu kingekuwa cha mapambio na sifa, bado ungeshauri wakashitaki? Na mwisho, hivi picha ya president wa nchi, ni mali ya nani? Ya familia yake? Ya serikali? Ya kila mwananchi?
Wakashtaki cover picha au maudhui ya kitabu? Washtaki kwamba picha ya public figure imetumika kwenye kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya public?

Nani kakuambia? Kitabu kinatafutwa kama lulu wewe unasemaje kimedoda?Hao washamba hamna anayehangaika nao kwanza mauzo ya hicho kitabu yanedoda sana
Kwani jpm Kuna zuri hata moja alifanya?
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.
Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.
Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.
Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.
Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.
Ombi Kwa familia ya magufuli Kwa niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.
Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.
--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
Kwa hiyo kwako wewe kiongozi muuaji, mporaji, mfirani ndo kiongozi boraAzidi kupumzika kwa amani.
Tuendelee kuvumila mazuri na mabaya yake yakiwekwa wazi , itachukua muda kidogo kupotea kwenye fikra za watu wengi iwe kwa wema ama ubaya. Ni kwa sababu ni kiongozi wa kipekee kuwahi kuwa kwenye nchi yetu, athari zake zitaendelea kuwa gumzo pengine itagharimu kizazi.
Kwangu mimi alikuwa kiongozi bora sana kwa nyakati zetu hizi na pengine zijazo.
Wakashtaki cover picha au maudhui ya kitabu? Washtaki kwamba picha ya public figure imetumika kwenye kitabu kilichoandikwa kwa ajili ya public?
Vipi kama kitabu kingekuwa cha mapambio na sifa, bado ungeshauri wakashitaki? Na mwisho, hivi picha ya president wa nchi, ni mali ya nani? Ya familia yake? Ya serikali? Ya kila mwananchi?
Ukiwa madalakani? kwani sasa yupo upotoshaji uliofanyika ataujibu Nani,kama nia ilikuwa kumjadili juu ya utawala wake bhasi wangetaja na Yale aliyoyafanya mikoa mingine na Yale mazuri aliyoyafanya tungejua kitabu kinawahusu watanzania.Ukishakuwa Rais MTU yeyote anaweza kuandika kitabu chochote ilimradi havunji sheria na familia ya Rais isidai chochote kama fidia.
Rais ni Mali ya umma.
Ni kama uandike kitabu cha mlima Kilimanjaro.
Ingawaje haifai kuandika vitu vyenye lengo la kuangusha na kulibomoa taifa.
Kuhusu JPM anamazuri yake na Mabaya yake. Kama kuna mabaya yake yaandikwe ili kizazi kingine kijifunze ilimradi asisingiziwe.
Na watakaoandika mazuri waandike ili kizazi kijacho kijifunze, ilimradi wasimuongezee sifa ambazo hakufanya.
Kama hautaki kuandikwa na watu basi usiwe public figure hasa Kwa level ya urais
Watoto wako wanalipiwa ada na nani huko katani.Kwani jpm Kuna zuri hata moja alifanya?
Bora ada ingeachwa tu mana michango ni zaidi ya adaWatoto wako wanalipiwa ada na nani huko katani.
Una uhakika.Ukishakuwa Rais MTU yeyote anaweza kuandika kitabu chochote ilimradi havunji sheria na familia ya Rais isidai chochote kama fidia.
Rais ni Mali ya umma.
Ni kama uandike kitabu cha mlima Kilimanjaro.
Ingawaje haifai kuandika vitu vyenye lengo la kuangusha na kulibomoa taifa.
Kuhusu JPM anamazuri yake na Mabaya yake. Kama kuna mabaya yake yaandikwe ili kizazi kingine kijifunze ilimradi asisingiziwe.
Na watakaoandika mazuri waandike ili kizazi kijacho kijifunze, ilimradi wasimuongezee sifa ambazo hakufanya.
Kama hautaki kuandikwa na watu basi usiwe public figure hasa Kwa level ya urais
Ukiwa madalakani? kwani sasa yupo upotoshaji uliofanyika ataujibu Nani,kama nia ilikuwa kumjadili juu ya utawala wake bhasi wangetaja na Yale aliyoyafanya mikoa mingine na Yale mazuri aliyoyafanya tungejua kitabu kinawahusu watanzania.
U
Una uhakika.
We jamaa wewe.....
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.
Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.
Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.
Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.
Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.
Ombi Kwa familia ya magufuli Kwa niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.
Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.
--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
Bora ada ingeachwa tu mana michango ni zaidi ya ada
Kile kitabu kinauzwa wahusika Wana maslai binafsi si ya umma,Kwa katiba yetu marehemu ahukumiwi hivyo kutumia picha ya marehemu kwenye biashara binafsi unapaswa kuwajibika, ili picha ya rais itumike katika shughuli binafsi ya maslai binafsi unatakiwa umuombe muhusika au familia Kwa sasa JPM ni marehemu hawezi kujibu hoja yoyote iliyoandikwa hivyo Kwa kushindwa kubalance story ya kitabu kunaondoa ualali wa matumizi ya picha ya rais katika kitabu binafsi cha kibiasharaHuoni hapa tumjadili yeye. Na sio Kukujadili wewe au Mimi?
Huyo alikuwa Rais, Rais ni Mali ya umma na kizazi cha Taifa kuanzia anapotawala mpaka atakapoondoka
Tatizo siyo hao waandishi wenye njaa bali ni mrithi wa I am The State.
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.
Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.
Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.
Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.
Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.
Ombi Kwa familia ya magufuli Kwa niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.
Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.
--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
Je? Kuna kitabu kilichowai kumuandika Nyerere Kwa mabaya tu, ishu hapa ili kitabu kionekane kinalenga kuielimisha jamii lazima kibalance story uzuri na ubaya wa kiongozi.Kwani wanaoandika habari za Nyerere iwe Kwa mazuri au Mabaya huyo Nyerere yupo madarakani?
Je? Kuna kitabu kilichowai kumuandika Nyerere Kwa mabaya tu, ishu hapa ili kitabu kionekane kinalenga kuielimisha jamii lazima kibalance story uzuri na ubaya wa kiongozi.
Kitabu kinauzwa wanafanya biashara inapofika mahala picha au story ya mtu inapouzwa alafu muhusika amekutaja kwa mabaya tu Ni haki yako kudai.
Sasa vyeti feki na walamba asali na mafisadi toka lini mkampenda Magufuli si mliozoea hela bureHayupo moyoni mwangu mm na familia yangu.
Asante