USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

Azidi kupumzika kwa amani.
Tuendelee kuvumila mazuri na mabaya yake yakiwekwa wazi , itachukua muda kidogo kupotea kwenye fikra za watu wengi iwe kwa wema ama ubaya. Ni kwa sababu ni kiongozi wa kipekee kuwahi kuwa kwenye nchi yetu, athari zake zitaendelea kuwa gumzo pengine itagharimu kizazi.

Kwangu mimi alikuwa kiongozi bora sana kwa nyakati zetu hizi na pengine zijazo.
Well said!
Sio wengine wanataka kutulazimisha wote tuimbe eti alikuwa mtu mzuri
 
Hiyo familia ina hati miliki ya hiyo picha? Huyo alikuwa Rais wa Tanzania hivyo picha yake si nembo ya biashara kiasi kwamba unapata faida kuitumia bali kuonyesha taswira ya utawala wake.

Punguza ushamba!
 
we ndio marketing officer? Kuna washmba km we na mwendazake? Sisi tunakitafuta nasikia nakala zimeisha tunasubiri wa-print zingine.
Usiumize kichwa hawa ni wewe wataishia matusi tu. Ni kitabu gani ambacho matzo yake hayagoma tz? Cha mkapq aukile
Cha MAKUWADI WA SOKO HURIA ??
 
KASOME SHERIA KWANZA HALAFU UFANYE EDITING YA THREAD YAKO
 
Acha kudanganya watu wewe,ujinga wako peleka huko. Hutakiwi kuandika kitu juu ya yeyote yule bira kubalance, Rais ni Mali ya umma ni nembo ya nchi,ndio taaswira ya Taifa, huwezi kumchafua kiongozi wa nchi bira kuidharirisha na kuibagaza nchi.huwezi kuitwa rais bira taasisi ya urais kuichafua.
Sasa yule shetani si ndiyo sifa aliyokuwa nayo hakuna kuremba! Shetani, jambazi, muuaji, mwizi waandikwe kwa sifa zao!
 
Mwaka 2030 Mungu akijalia kesi itafunguliwa na wahusika watauziwa mali zao zote.
Kwa kosa gani wakati ushahidi upo kwqmba jitu lenu lilifuja fweza za umma na kupeleka miradi kwao!
Airport ikawe rejea kwenu sukuma gaang
 
Acha kudanganya watu wewe,ujinga wako peleka huko. Hutakiwi kuandika kitu juu ya yeyote yule bira kubalance, Rais ni Mali ya umma ni nembo ya nchi,ndio taaswira ya Taifa, huwezi kumchafua kiongozi wa nchi bira kuidharirisha na kuibagaza nchi.huwezi kuitwa rais bira taasisi ya urais kuichafua.
Bira-bila
Kuidharirisha-kuidhalilisha

Mshamba wa wapi wewe.
Yaani ht ongea yako itakuwa km ya Magufuli.
Yawezekana mnatoka kumoja nyie.
Haya ndo madhara ya kuwapa nchi wahamiaji haram
 
Hao washamba hamna anayehangaika nao kwanza mauzo ya hicho kitabu yanedoda sana
Kitabu hakijaandikwa ili kiuzwe au kisiuzwe sana. Akitabu kimeandikwa kuwafumbua macho waimba mapambio.
Note: watu wenye akili ndogo husoma udaku na siyo vitabu.
 
Unajua Mzilankende Kazi Zake Zipo Bayana Kila Mtu Anajua, Sasa Wanaomchafua Bila Shaka Hawataweza. Tumpe Nafasi Apumzike Kwa Amani Aendelee Kuongoza Malaika
 
Hujui uwazalo wala usemalo wewe!!

Hebu fahamu haya yafuatayo;

1. Hayati Rais John P. Magufuli alikuwa Rais wa Tanzania. Alikuwa ni mali ya kila mtanzania. Alikuwa ni mali ya umma na hata sasa bado ni mali ya umma. Familia yake haina hati miliki ya jina lake na uliokuwa u - Rais wake...

2. Kwa mantiki hiyo, mtu yeyote aweza kuandika chochote kum - describe Rais aliyepo au ambaye amewahi kuwa Rais kama alivyo John P. Magufuli kuhusu tabia yake, matendo yake, aina ya uongozi wake nk nk ili mradi hakuna sheria ya nchi inayokiukwa na huyo aandikaye

3. Kama wewe unaona ameandikwa kwa mabaya tu na wewe hujapenda au hupendi na unaujua upande mwingine mzuri kumhusu, fanya utaratibu uandike kitabu chako kueleza mazuri yake..!!

Tutakisoma kitabu chako na wanaotaka aandikwe Kwa mabaya tu watachukia vile vile kama ambavyo wewe umechukia kuona hajaandukwa Kwa mazuri..

Yeah, it's simple just like that..!!
 
Acha kudanganya watu wewe,ujinga wako peleka huko. Hutakiwi kuandika kitu juu ya yeyote yule bira kubalance, Rais ni Mali ya umma ni nembo ya nchi,ndio taaswira ya Taifa, huwezi kumchafua kiongozi wa nchi bira kuidharirisha na kuibagaza nchi.huwezi kuitwa rais bira taasisi ya urais kuichafua.
Andika kwa kiswahili tukielewe.
 
Ishiiiii Et yatafutika miaka 50 mbele.

Huwa mnaandika mkifiri Kwa kutumia makalio au?
Yes yupo sahihi hayafiki 50, hivi 2050 unadhani Tanzania itakua hii hii? We si unaona Nyerere kafanya makubwa lakini JPM amekuja mkasema hakuna Rais kama JPM amewahi tokea Tanzania!! So kufikia 2050 miundombinu obvious itakua mingi, pengine tumerusha satellite, tunachimba madini na mafuta wenyewe, tuna submarines n.k unadhani tutamkumbuka JPM kwa lipi Sasa?

Grow up, JPM is overrated for nothing
 
Back
Top Bottom