MWANAHARAKATI MWEMA
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 216
- 313
- Thread starter
- #141
Ule ulikuwa ukosoaji akiwa madalakani na ulikuwa na afya Kwa taifa, hiki kitabu kimeitumia picha ya rais kinyume cha lengo la kitabu, IAM THE STATE kilitakiwa kichambue mazuri ya kuigwa na mabaya ya kupingwa kingeonekana kuwa kinawahusu watanzania wote.Na uwakumbushe kuyadai magazeti na majarida yote yaliyowahi kutumia picha au maneno aliyowahi kuyatumia.Mtunza "regase"!