USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

Hicho kitabu hakijaandikwa kwa utashi wa waandishi pekee wamewezeshwa na watu walioko kwenye mfumo sasa hivi kufanikisha malengo yao binafsi ya kisiasa. Hakuna 'fact' yoyote uliyoiwasilisha jukwaani hapa ambayo sio 'biased'
Hebu tujadili hii ishu tukiwa very specific..

Hebu wewe ndiyo niambie, kwamba, ni jambo gani ambalo hawa jamaa wameandika ndani ya kitabu ni cha uongo na kinampaka matope Rais hayati John P. Magufuli..?
 
..unakiri kuwa Magufuli alikuwa na madhaifu.

..waandishi wameyaweka madhaifu hayo ktk kitabu.

..sasa kuna tatizo gani, au waandishi wamekosea nini?

..nafasi ya kuandika mema ya Magufuli bado ipo, ninachoshangaa hawajitokezi watu kuyaandika.
Kwanini mnapenda madhaifu yake yaandikwe ili hali ana mema mengi kwa nini msiandike madhaifu ya kikwete, Nyerere,mwinyi,mkapa au kwa vile mna chuki na Magufuli baada ya kuziba mirija yenu ya uwizi, ufisadi,uvyeti feki
 
Hebu tujadili hii ishu tukiwa very specific..

Hebu wewe ndiyo niambie, kwamba, ni jambo gani ambalo hawa jamaa wameandika ndani ya kitabu ni cha uongo na kinampaka matope Rais hayati John P. Magufuli..?
Tunataka waandike madhaifu ya viongozi wengine kwanini muandike kitabu kwa Magufuli tu pekee yake au wale wengine ni malaika hii mimi naita uzandiki na chuki
 
Hao walioandika madhaifu ni wale wale waliokimbia nchi tangu miaka ile na wanayo sifa ya kumpinga kila rais anayekuwa ikulu labda kwa kigezo cha uhuru wa kidemokrasia.
Wewe ambaye hukuwahi kukimbia nchi, andika na wewe kitabu chako ueleze mazuri yake. Kwani shida iko wapi?

Kumponda mtu kwa kigezo cha Chato huku ukisahau mengi sana aliyofanya kwa ujasiri kama kufufua ATCL na kufufua bandari zote tulizonazo, ni uchawa ule ule tu usio na tofauti na ule wa kina Mwijaku.

Hujasoma kitabu bila shaka..

Yameandikwa mengi kumhusu kama udhaifu wa uongozi wake..

Narudia Tena, andika na wewe kitabu chako na onesha strengths zake na Kila kizuri alichofanya Kisha kiweke sokoni!!
 
Kwanini mnapenda madhaifu yake yaandikwe ili hali ana mema mengi kwa nini msiandike madhaifu ya kikwete, Nyerere,mwinyi,mkapa au kwa vile mna chuki na Magufuli baada ya kuziba mirija yenu ya uwizi, ufisadi,uvyeti feki

..mimi hoja yangu ni watu wawe HURU kuandika experience zao, na mitazamo yao, kuhusu viongozi mbalimbali hapa Tanzania.

..anayetaka kuandika mazuri ya Maraisi wetu asibugudhiwe. vilevile anayetaka kuandika madhaifu ya Maraisi wetu asionekane ni mtu mbaya.
 
Tunataka waandike madhaifu ya viongozi wengine kwanini muandike kitabu kwa Magufuli tu pekee yake au wale wengine ni malaika hii mimi naita uzandiki na chuki
Andika wewe..

La huwezi tafuteni watu wawasaidie kuandika mazuri yake kisha weka kitabu chako sokoni

Kwani Kuna shida gani bwana? Kuna sheria imevunjwa?
 
..mimi hoja yangu ni watu wawe HURU kuandika experience zao, na mitazamo yao, kuhusu viongozi mbalimbali hapa Tanzania.

..anayetaka kuandika mazuri ya Maraisi wetu asibugudhiwe. vilevile anayetaka kuandika madhaifu ya Maraisi wetu asionekane ni mtu mbaya.
Usiandike kwa vile una chuki ya kutumbuliwa vyeti feki, wakwepa kodi, wadhulumaji, mafisadi, wezi, walamba ndio mnaona madhaifu ya Magufuli nyie stupid kweli
 
Tafuta uhuru wa kuandika madhaifu ya baba yako mzazi tuone kama wewe mwenyewe utakubali au ndugu zako watakubali
 
..wanaoandika kwa kusukumwa na upendo wasibugudhiwe.

..wanaoandika kwa kusukumwa na chuki nao wasibugudhiwe.

..wote hao ni sehemu ya jamii ya Watanzania na tunaweza kujifunza toka kwao.
 
Wengine hatutanunua huo uchafu ulioandikwa kwenye hicho kitabu kimedhaminiwa na mafisadi kwa pesa za kodi zetu
 
Tafuta uhuru wa kuandika madhaifu ya baba yako mzazi tuone kama wewe mwenyewe utakubali au ndugu zako watakubali

..Baba yangu hakuwahi kuwa Raisi wa Tanzania, au nchi yoyote.

..Unapokuwa ktk nafasi za juu za madaraka kuna gharama binafsi, na gharama ambazo familia huzibeba.

..Nimeona familia za Nyerere, Mkapa, Magufuli, zikipokea tuzo kwa niaba ya wazee wao.

..Kwa muktadha huohuo familia hizo ziwe tayari, na ziwe na uvumilivu, wazee wao wanapolaumiwa kwa hili au lile.

..Kuna wanasiasa waliokataa kugombea Uraisi kwasababu za kifamilia.
 
Andika tu si alikuwa kiongozi wa familia kwa hana udhaifu
 
Tunataka waandike madhaifu ya viongozi wengine
Wewe umezuiwa kuandika? Rafiki zako wamezuiwa kuandika?
kwanini muandike kitabu kwa Magufuli tu pekee yake

Wewe unadhani kwanini asiwe John P. Magufuli tu?
au wale wengine ni malaika

Si malaika. Nafasi ipo ya wao kundikwa pia. Wewe ndiyo anza kuandika ili usomwe..!!
hii mimi naita uzandiki na chuki.
Ni maoni na mtazamo wako na Kwa kweli ni haki yako kuwa na mtazamo huu..

Lakini mbona wewe unachukia wengine kuwa na mtazamo tofauti na wewe?
 
Hebu tujadili hii ishu tukiwa very specific..

Hebu wewe ndiyo niambie, kwamba, ni jambo gani ambalo hawa jamaa wameandika ndani ya kitabu ni cha uongo na kinampaka matope Rais hayati John P. Magufuli..?
Sihitaji kuandika hapa utopo;olo uliomo humo. Kama kweli hawajatumwa washauri waende kijiji cha Msoga chenye hospitali yenye hadhi ya hospitali ya mkoa ikiwa hapo na makazi ya kimwinyi ambapo kila mwenza ana nyumba yake na swimming pool kubwa katikakti ya msitu kilimani. Utajiri wa kundi kubwa la ng'ombe, mashamba ya mahindi na nanasi huko Kiwangwa. Halafu pamoja na hilo wachunguze na kuandika kitabu kinachoelezea kwamba mmiliki wa vituo vya mafuta kutoka Ruvu darajani hadi Msolwa Chalinze ni nani kisha urejee hapa kutetea pumba za waandishi uchwara waliolipwa kushindani na mfu kwa nia ya kuumizwa ndugu wa hayati (personal injury and reputation damage of the late Dr JPM).

Mmoja wa waandishi walioshiriki kuandika kita cha ' I am the State' hajaanza leo, alishawahi kuandika kitabu kingine akiwa ukimbizini ughaibuni baada ya ya kujiteka akiwa Kagera akakimbilia Nairobi kupitia Mwanza na Mara, Tarime

Soma alichokiandika halafu utambue hawa wameandika kwa sabu zao binafsi sio zinazohusu mahitaji ya Watanzania
Nukuu
1128853

While some western media nicknamed him “bulldozer,” and one opposition politician in Tanzania called him “petty dictator,” some critics have called him the “Trump of East Africa.” His bullish and sadistic statements and actions have qualified him as a modern day dictator on the rise. It calls for an immediate local and international action in order to arrest the situation before it worsens and destabilises the whole of Eastern and Southern Africa. In a similar manner that Italy’s Benito Mussolini, Germany’s Adolf Hitler, Zaire’s Mobutu Seseseko and Uganda’s Idi Amin rose to power and used it to crash independent thought and crumble their countries, turning their citizens into subjects, John Pombe Magufuli, has made Tanzania infamous for the wrong reasons. In just three years, he has almost successfully attempted to replace democracy with a one-man rule, becoming an embodiment of brutality, nepotism, authoritarianism, grand corruption, diplomatic exclusion-ism, extrajudicial killings, abductions and arbitrary torture of civilians; turning East Africa’s most peaceful and stable country into a police state and a “skunk of the world.” His distorted approach to leadership and development, and his disregard of democracy, human rights and rule of law have turned him into a bully that seeks religious obedience from everyone, and he uses fear as his main tool of leadership. He terrorises the parliament, the opposition, the media, the diplomatic and international community, his own party, Muslims, journalists, activists, religious leaders, the business community, the judiciary and others - in a bid to establish himself as a leader that must be feared and never dared. This book exposes, through analysis, the root of this sadistic leadership. It digs deep into the dictator’s behaviour and leadership style. It encourages everyone to stand firm and overcome threats imposed by this despot. It awakens governance institutions to do their noble and constitutional task, and never allow similar mistakes that paved the way for this situation to prevail. The good news is that the dictator is timid and cowardly. His use of fear as a leadership tool testifies to his cowardice and insecurity. Proactive action from local and international partners in development will help to stop the dictator from causing further damage - putting an end to his autocratic rule as he seeks to extend it. There is every indication that, given a chance, he would never leave power voluntarily. Civilised people do not have to wait for that to happen. The world does not need another Idi Amin in East Africa. There is no need for the world to watch East Africa’s most peaceful nation sinking into irreparable, perpetual mess as it did with Rwanda prior to the 1994 genocide. With this book, I am stepping in to offer an informed analysis that may be part of the solution. I am laying a ground for a further follow up and research on the matter.

Product details

Hebu tujadili hii ishu tukiwa very specific..

Hebu wewe ndiyo niambie, kwamba, ni jambo gani ambalo hawa jamaa wameandika ndani ya kitabu ni cha uongo na kinampaka matope Rais hayati John P. Magufuli..?
 
Wewe ambaye hukuwahi kukimbia nchi, andika na wewe kitabu chako ueleze mazuri yake. Kwani shida iko wapi?

Kumponda mtu kwa kigezo cha Chato huku ukisahau mengi sana aliyofanya kwa ujasiri kama kufufua ATCL na kufufua bandari zote tulizonazo, ni uchawa ule ule tu usio na tofauti na ule wa kina Mwijaku.

Hujasoma kitabu bila shaka..

Yameandikwa mengi kumhusu kama udhaifu wa uongozi wake..

Narudia Tena, andika na wewe kitabu chako na onesha strengths zake na Kila kizuri alichofanya Kisha kiweke sokoni!!
Sihitaji kuandika, nakosoa unafiki na uchawa wa waandishi tena wale waandamizi. Hawa wanaishusha thamani taaluma nzima ya uandishi. Kwa kulamba miguu ya kiongozi wa sasa wakisahau kuwa kuna siku atakuja kuwa ni wa zamani.
 
Sihitaji kuandika hapa utopo;olo uliomo humo. Kama kweli hawajatumwa washauri waende kijiji cha Msoga chenye hospitali yenye hadhi ya hospitali ya mkoa ikiwa hapo na makazi ya kimwinyi ambapo kila mwenza ana nyumba yake na swimming pool kubwa katikakti ya msitu kilimani. Utajiri wa kundi kubwa la ng'ombe, mashamba ya mahindi na nanasi huko Kiwangwa. Halafu pamoja na hilo wachunguze na kuandika kitabu kinachoelezea kwamba mmiliki wa vituo vya mafuta kutoka Ruvu darajani hadi Msolwa Chalinze ni nani kisha urejee hapa kutetea pumba za waandishi uchwara waliolipwa kushindani na mfu kwa nia ya kuumizwa ndugu wa hayati (personal injury and reputation damage of the late Dr JPM).

Mmoja wa waandishi walioshiriki kuandika kita cha ' I am the State' hajaanza leo, alishawahi kuandika kitabu kingine akiwa ukimbizini ughaibuni baada ya ya kujiteka akiwa Kagera akakimbilia Nairobi kupitia Mwanza na Mara, Tarime

Soma alichokiandika halafu utambue hawa wameandika kwa sabu zao binafsi sio zinazohusu mahitaji ya Watanzania
Nukuu
1128853

While some western media nicknamed him “bulldozer,” and one opposition politician in Tanzania called him “petty dictator,” some critics have called him the “Trump of East Africa.” His bullish and sadistic statements and actions have qualified him as a modern day dictator on the rise. It calls for an immediate local and international action in order to arrest the situation before it worsens and destabilises the whole of Eastern and Southern Africa. In a similar manner that Italy’s Benito Mussolini, Germany’s Adolf Hitler, Zaire’s Mobutu Seseseko and Uganda’s Idi Amin rose to power and used it to crash independent thought and crumble their countries, turning their citizens into subjects, John Pombe Magufuli, has made Tanzania infamous for the wrong reasons. In just three years, he has almost successfully attempted to replace democracy with a one-man rule, becoming an embodiment of brutality, nepotism, authoritarianism, grand corruption, diplomatic exclusion-ism, extrajudicial killings, abductions and arbitrary torture of civilians; turning East Africa’s most peaceful and stable country into a police state and a “skunk of the world.” His distorted approach to leadership and development, and his disregard of democracy, human rights and rule of law have turned him into a bully that seeks religious obedience from everyone, and he uses fear as his main tool of leadership. He terrorises the parliament, the opposition, the media, the diplomatic and international community, his own party, Muslims, journalists, activists, religious leaders, the business community, the judiciary and others - in a bid to establish himself as a leader that must be feared and never dared. This book exposes, through analysis, the root of this sadistic leadership. It digs deep into the dictator’s behaviour and leadership style. It encourages everyone to stand firm and overcome threats imposed by this despot. It awakens governance institutions to do their noble and constitutional task, and never allow similar mistakes that paved the way for this situation to prevail. The good news is that the dictator is timid and cowardly. His use of fear as a leadership tool testifies to his cowardice and insecurity. Proactive action from local and international partners in development will help to stop the dictator from causing further damage - putting an end to his autocratic rule as he seeks to extend it. There is every indication that, given a chance, he would never leave power voluntarily. Civilised people do not have to wait for that to happen. The world does not need another Idi Amin in East Africa. There is no need for the world to watch East Africa’s most peaceful nation sinking into irreparable, perpetual mess as it did with Rwanda prior to the 1994 genocide. With this book, I am stepping in to offer an informed analysis that may be part of the solution. I am laying a ground for a further follow up and research on the matter.

Product details
MHh
 
Sihitaji kuandika, nakosoa unafiki na uchawa wa waandishi tena wale waandamizi. Hawa wanaishusha thamani taaluma nzima ya uandishi. Kwa kulamba miguu ya kiongozi wa sasa wakisahau kuwa kuna siku atakuja kuwa ni wa zamani.
Bado na mimi naendelea Kukuambia wewe kuwa, bado unaweza kuipandisha taaluma na hadhi ya uandishi kwa wewe kuandika kitabu kizuri kuliko cha wenzako..

Wao wametimiza wajibu wao Kwa kadiri ya upeo wa ufahamu na uelewa wao juu ya aliyekuwa kiongozi wao..

Kukosoa ni haki yako na sina hakika kama wao wanakuhukumu wewe Kwa kukosoa kazi Yao..
 
Back
Top Bottom