USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.

Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.

Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.

Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.

Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.

Ombi Kwa familia ya magufuli Kwa niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.

Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.

--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Dola)
Hawa waandishi wa habari ndio waleee ambao Nyerere aliwaita malaya wa kisiasa kwa kingereza Mercenaries.

JPM anawaza kuwa na udhaifu wake wa kibinadamu lakini ameacha mengi sana yenye kutakiwa kuendelezwa na hawa hawa waandishi wanaopoteza akili baada ya kupewa ujira mdogo tena zikiwa pesa za matajiri wa kizungu.
 
Waende tu! Basi tufanye tu haki! kodi zetu zilizotumika kumlisha huyo mfu na kuendesha maisha ya familia yake zilipwe zote na abaki peke yake bila ya urais (public figure). Waende tu na zile kodi ambazo bado zinatumika kuendesha hiyo familia zirudi awe peke yake. Waende jana! wanasheria 50 wako tayari!
 
Ukishakuwa Rais MTU yeyote anaweza kuandika kitabu chochote ilimradi havunji sheria na familia ya Rais isidai chochote kama fidia.

Rais ni Mali ya umma.
Ni kama uandike kitabu cha mlima Kilimanjaro.

Ingawaje haifai kuandika vitu vyenye lengo la kuangusha na kulibomoa taifa.

Kuhusu JPM anamazuri yake na Mabaya yake. Kama kuna mabaya yake yaandikwe ili kizazi kingine kijifunze ilimradi asisingiziwe.
Na watakaoandika mazuri waandike ili kizazi kijacho kijifunze, ilimradi wasimuongezee sifa ambazo hakufanya.

Kama hautaki kuandikwa na watu basi usiwe public figure hasa Kwa level ya urais
msumari wa utosi huu! umemaliza mkuu!
 
Kwanza kabisa namshukuru' muumba Kwa kuniweka hai mpaka Leo ninapofanikiwa kuwaona wanaochukia ukabila wa magufuli lakini wao kupitia chuki zao wakiungana Kabila moja na kutunga kitabu kinachozungumzia upande mmoja wa shilingi wa aliyoyatenda wanayemjadili.

Nikienda kwenye mada moja Kwa moja Ni kwamba tumeshuhudia wazilankende walioungana wakizindua kitabu kilichopewa Jina la 'IAM THE STATE'
ambacho Kwa wazi kabisa walioshiriki kukitunga wanajitambulisha kama wanahabari.

Ndani ya kitabu hicho kinachoonesha wazi kukosa weledi wa uandishi wa habari Kwa kuamua Kwa makusudi kutaka kuharibu kabisa legancy ya JPM na kukosa balance ya kuwauliza wenye nchi ambao ni wananchi Ni kiashiria cha ubabaishaji hasa Kwa Sababu wananchi walipaswa wapewe nafasi.

Kwanini nasema waandishi wanatakiwa wapelekwe mahakani Ni Kwa Sababu kitabu hicho kimetungwa si Kwa faida ya watanzania wote bali ni Kwa wale tu walioguswa Kwa Namna moja au nyingine kutokana na utekelezaji wa Sheria na kulinda maslai ya nchi.

Kitabu hiki kimejaa chuki za wazi wazi kabisa, hivi unawezaje kumzungumzia mtu Kwa mabaya tu alafu useme unalikomboa taifa, ukitaka kumjadili mtu mfanyanye kama unapika ugali ili kila upande ujifunze kupitia mazuri na mabaya yake.

Ombi Kwa familia ya magufuli Ka niaba ya wananchi wengi tunaoamini kupitia utawala wa maliza Kero papo hapo ambao rais wetu kipenzi walio wengi tunaoamini Kwa vitendo Ni KWAMBA WALIOTUMIA PICHA YA MAGUFULI KUTANGAZA KITABU CHAO WAPELEKWE MAHAKAMANI.

Mwisho japo nilitamani niendelee kuna mambo mengi yamefanywa na Marais waliopita, yapo mabaya na mazuri lakini hakujawahi kutungwa kitabu cha kumlenga mtu moja Kwa moja lakini hawa wazilankende kisa tetemeko wanadhani itakuwa rahisi kufuta legancy ya jiwe JPM ilihali vitu alivyovifanya bado vipo na vitaishi milele, MAGUFULI BADO YUPO MIOYONI MWETU.

--
Pia soma
- From the book 'I am the State' (Mimi ni Do
Naisi
Na hili ndo kosa walilofanya waandishi.
Picha ya jitu lile ni mikosi kuwa nayo nyumbani
Dawa ya moto ni moto ,kiandikwe kitabu kitachozungumzia alivyo wabana wala nchi na wakawaida wakanufaika na waandishi maslai waluvyo teseka mpaka kukimdia nchi
 
Sina kiburi. Nasema kilicho halisi..

Kwa hiyo kilichoandikwa na hawa waandishi unadhani kina;

✓ Injure reputation ya Magufuli?

✓ Sababisha hatred, contempt or ridule dhidi ya Magufuli?

✓ Damage profession & trade due injuries to the reputation of Mr Magufuli?

Really? Really?............ How exactly is this ndugu Intelligence Justice?

Hata kama ni hivyo, huyo "deceased person" atajwaye hapa ni mtu kama wewe Intelligence Justice na kamwe sio mtu mwenye au aliyewahi kuwa na madaraka ya u - Rais kama ndugu yenu hayati John P. Magufuli..!

Soma hapo juu☝️☝️☝️☝️

Na unadhani walioandika kitabu hii ni wajinga sana hawaelewi hii sheria?

Unadhani walioandika kitabu hiki ni wajinga hawajui sheria hii?

Likely wewe ndiye....

Labda kidogo kwenye aya hii umeandika ukiwa in your right senses..

Bado swali liko palepale, kwamba, unadhani hawa ndugu hawana akili wa ufahamu wa kuyafahamu haya?

Generally, there's no defematory act in that book. I am pretty sure that, all which is written in that book is nothing but truth and only truth..!!

Good night...!
Subiri huyo anayewalinda aondoke mtajua hamjui
 
Hapa tunajadili facts.

Kufanya kosa la kisheria hakuhitaji hisani kiongozi yeyoye. Acha kuwaza juu ya impunity..

Viongozi hupita na sheria huishi mpaka mwisho wa taifa husika

Nyie mnaodhani wamevunja sheria, basi onesheni na thibitishaeni kosa lao ni nini kisheria...

Je ni kuandika juu ya utendaji kazi wa Rais kiongozi wao aliyepita na kuonesha udhaifu wake na ubaya wa mengi maamuzi enzi za utawala wake?

Hili haliwezi kuwa kosa asilani kwa sheria yoyote!!

Kama unataka na una nafasi wewe Intelligence Justice na wenzako, andikeni kitabu chenu nanyi kuonesha uzuri wake na watu watasoma tu. Kwani shida iko wapi??
Hicho kitabu hakijaandikwa kwa utashi wa waandishi pekee wamewezeshwa na watu walioko kwenye mfumo sasa hivi kufanikisha malengo yao binafsi ya kisiasa. Hakuna 'fact' yoyote uliyoiwasilisha jukwaani hapa ambayo sio 'biased'
 
Subiri huyo anayewalinda aondoke mtajua hamjui
We are talking about a living fact na siyo uzushi na propaganda za kisiasa. Fact ni fact tu. Hakuna uhusiano na unachofikiri wewe..

Kufanya kosa la kisheria hakuhitaji hisani ya kiongozi yeyoye..

Viongozi hupita na sheria huishi mpaka mwisho wa taifa husika. Hata huyo ajaye, ataongozwa na sheria hizihizi..

Nyie mnaodhani wamevunja sheria, basi onesheni na thibitishaeni kosa lao ni nini kisheria...

Je ni kuandika juu ya utendaji kazi wa Rais kiongozi wao aliyepita na kuonesha udhaifu wake na ubaya wa mengi maamuzi enzi za utawala wake?

Hili haliwezi kuwa kosa asilani kwa sheria yoyote!!

Kama unataka na una nafasi wewe Intelligence Justice na wenzako, andikeni kitabu chenu nanyi kuonesha uzuri wake na watu watasoma tu. Kwani shida iko wapi??
 
Hawa waandishi wa habari ndio waleee ambao Nyerere aliwaita malaya wa kisiasa kwa kingereza Mercenaries.

JPM anawaza kuwa na udhaifu wake wa kibinadamu lakini ameacha mengi sana yenye kutakiwa kuendelezwa na hawa hawa waandishi wanaopoteza akili baada ya kupewa ujira mdogo tena zikiwa pesa za matajiri wa kizungu.

..unakiri kuwa Magufuli alikuwa na madhaifu.

..waandishi wameyaweka madhaifu hayo ktk kitabu.

..sasa kuna tatizo gani, au waandishi wamekosea nini?

..nafasi ya kuandika mema ya Magufuli bado ipo, ninachoshangaa hawajitokezi watu kuyaandika.
 
Huyu jamaa mwenye uzi akili yako ni tope, bora ufe sababu ni mzigo usio na faida, kwani Magufuli hakukosea? Alifanya kila kitu sawa kama malaika? Acha ujinga uwe na amani
 
..unakiri kuwa Magufuli alikuwa na madhaifu.

..waandishi wameyaweka madhaifu hayo ktk kitabu.

..sasa kuna tatizo gani, au waandishi wamekosea nini?

..nafasi ya kuandika mema ya Magufuli bado ipo, ninachoshangaa hawajitokezi watu kuyaandika.
Hao walioandika madhaifu ni wale wale waliokimbia nchi tangu miaka ile na wanayo sifa ya kumpinga kila rais anayekuwa ikulu labda kwa kigezo cha uhuru wa kidemokrasia.

Kumponda mtu kwa kigezo cha Chato huku ukisahau mengi sana aliyofanya kwa ujasiri kama kufufua ATCL na kufufua bandari zote tulizonazo, ni uchawa ule ule tu usio na tofauti na ule wa kina Mwijaku.
 
Back
Top Bottom