Ushauri: Fedha zilizookolewa ktk uchaguzi Njombe, Tanga, Mtwara, Katavi na maeneo mengine zijenge vituo vya Afya

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendeleacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk.

Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y mitaa. Naomba serikali sikivu ya Jemedari John Pombe Magufuli izitumie pesa nusurika kujenga vituo vya Afya kwa kadiri ya bajeti ya ujenzi wa kituo kimoja cha Afya kwa wakati huu. Wao kama serikali kupitia Ofisi ya Rais Tamisemi wanafahamu kiasi kilichookolewa na pia tungependa kama wana wanainchi tujuzwe hiyo bakaa.
 
Hii ingependeza kwa sababu serikali hii inajali afya za watu mno.
 
Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendekeacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk.

Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y mitaa. Naomba serikali sikivu ya Jemedari John Pombe Magufuli izitumie pesa nusurika kujenga vituo vya Afya kwa kadiri ya bajeti ya ujenzi wa kituo kimoja cha Afya kwa wakati huu. Wao kama serikali kupitia Ofisi ya Rais Tamisemi wanafahamu kiasi kilichookolewa na pia tungependa kama wana wa nchi tujuzwe hiyo bakaa.
Pesa hizo kipewe chama cha mapinduzi kwa kuonesha uzalendo na uvumilivu kwenye uchaguzi.
 
Mada hapo juu yaeleweka vizuri sana. Mnafahamu kiendekeacho nchini hivi sasa. Katavi, Njombe, Mtwara na Tanga hakuna uchaguzi. Hela nyingi zimenusirika kulipa posho za wasimamizi, karatasi, wino, visanduku, usafirishaji nk.

Hata mitaa na vijiji vingi kwingineko hakuna uchaguzi wa serikali y mitaa. Naomba serikali sikivu ya Jemedari John Pombe Magufuli izitumie pesa nusurika kujenga vituo vya Afya kwa kadiri ya bajeti ya ujenzi wa kituo kimoja cha Afya kwa wakati huu. Wao kama serikali kupitia Ofisi ya Rais Tamisemi wanafahamu kiasi kilichookolewa na pia tungependa kama wana wa nchi tujuzwe hiyo bakaa.
Naunga mkono 100%
 
Vituo vya afya vimejengwa nchi nzima.

Bado, Nina uhakika 100%. Kata zipo ngapi humu nchini? Kuna vituo vingapi vya afya? Usichanganye kituo cha Afya na hospital za wilaya. Sipo huko.
 
Nime zunguka nchi nzima hii, kila kata inakituo cha afya. Zahanati ndo usiseme. Magufuli yuko very strategic miradi inagusa kila. Idara.

Back
Top Bottom