TO2004
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 540
- 219
Inategemea ukiagiza ni 14-15msamahan mkuu kwani toyota voltz ni ngap iliyo poa
Show room 15-17m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea ukiagiza ni 14-15msamahan mkuu kwani toyota voltz ni ngap iliyo poa
Bei yako ikoje?Nunua Harrier old model hutojutia
Naunga mkono hoja, na ikiwa old model hutajuta mkuu.nunua toyota ipsum
D4 tena mkuu?? Why asichukue VVTI?Chukua rav4 4d4
Mkuu pamoja na magari yote waliyoshauri wenzangu hapo juu mimi nakushauri chukua Toyota GAIA, ina cc 1990, ina seat 8 hutojutaWakuu naomba ushauri juu ya gari zuri la familia linaloweza milikiwa na mtu wa kipato cha chini. Liwe na uwezo wa kubeba watu 5. Gharama yake isizidi milioni 14. Picha zitasaidia zaidi.
Atakuwa anataka kumuangamiza mnunuzi.D4 tena mkuu?? Why asichukue VVTI?
Mkuu kwa uzoefu wangu GAIA ina ubovu wa shockup, na body yake huinama mapema. Yaani ikishaanza mapicha kila siku utakuwa garage.Mkuu pamoja na magari yote waliyoshauri wenzangu hapo juu mimi nakushauri chukua Toyota GAIA, ina cc 1990, ina seat 8 hutojuta
Naitumia kifamilia mwaka wa 3 sasa, ukizingatia wazazi wangu na wakwe zangu wapo vijijini. Hivyo siku nakwenda kuwasalimu nachukuwa watoto wangu 2, mdada wa kazi, kajomba zangu, shem angu na wife. Na mazagazaga machukua full amaniHapa nakuunga mkono
Barabara si mbaya sana japo nahitaji gari inayovumilia hali zote.
Sijui kwanini watu wanaogopaga hizi mashine, wanaishia kununua stress.... for the budget sake, i can understand... otherwise Harrier 2.4 ni gari nzuri saaaanaaaa......Nunua Harrier old model hutojutia
Hahahahhujaeleza ukubwa wa familia yako inawezekana unahitaji Hiace kabisa mkuu
Kwangu inatosha!samahan mkuu kwani toyota voltz ni ngap iliyo poa
Hahaha!Scania ama Yutong itakufaa kwa ukubwa wa familia yako