Ndiyo maana yake. Siku zote mwanamke kama umemkomalia mwanamme na hutaki kutoa tunda jiridhishe sababu unazotoa ni za kweli. Aje akute ulikuwa unazuga hawezi kukuheshimu hata siku moja. Na kama ni kweli atakuheshimu siku zote.ha ha ha ha kwahyo jamaa amefanya amalipizi ha ha ha ha
Sasa huo usichana ni wako au ni wake?!! Unasemaje.....usichana wake ilihali usichana ni wako! Jamani tujielewe wanawakeMimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.
Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.
But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.
Naombeni ushauri wenu please.
Kwanza pole sana.Pili kwa kukusaidia hebu njoo pm halafu nipe nitest nkihakikisha nitampa taarifa na mambo yatakua salama kabisa.Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.
Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.
But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.
Naombeni ushauri wenu please.
na hiyo avatar yako sasa najiuliza tu ukiwa unatoa sauti kumwambia hiko ulichoandikaWeka picha, inakuwaje dam haikutoka
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.
Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.
But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.
Naombeni ushauri wenu please.
Kwanini damu haikutoka?
Tuanzie hapo kwanza
Wewe ulitokwa na damu?
Kumbe ndio maana haikutoka?...nahisi jamaa may be alikuwa apeleki push in kama ya USAIN BOLT bali kama ya mwendo wa kinyonga
Naona inawezekana etiHapo chacha....
Inawezekana kutotoka damu na binti akawa bikra.
Hiyo sababu ya baiskeli hiyo huwa sitamani kuiamini sanaKuna baadhi ya sababu ikiwemo kuendesha baiskeli zinaweza zikaondoa bikra pia labda kuna mtu alimnyatia usiku akagegega wakati yeye kauchapa usingizi. Hapa nazungumzia ndugu na jamaa ambao wanaweza kufanya hivyo.
Kuna bikra nyingine zinakuwa loose and more elastic na katikati zinakuwa hollow kwa Kama mwanamme ana kibamia au dizaini ya mbuzi basi bikra inaweza kutolewa na mtoto wakati wa kajifungua.Kumbe ndio maana haikutoka?
Naona inawezekana eti
Hiyo sababu ya baiskeli hiyo huwa sitamani kuiamini sana
Labda hiyo ya kunyatiwa usiku
Shemeji Kantwe, usisahau bikra ni sehemu ya yeye..ahahahahaaKwa hiyo shida yake ni wewe au bikra? Mwambie aache ujinga
Mkuu......Kwa hiyo shida yake ni wewe au bikra? Mwambie aache ujinga
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Jamaa muhuni sana aisee kala kwanza mzigo ndio kaja na swaga za no bikra,
Hahaa ni sehemu ya yeye ndio ila sio yeye kwa maana kwamba hata bila bikra bado anabaki kuwa yeye tu..bikra yenyewe inabomolewa siku moja tu mbwembwe zote za nini?Shemeji Kantwe, usisahau bikra ni sehemu ya yeye..ahahahahaa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu......
Una roho mbaya sana aiseee..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya majibu yana wafaa wakomavu kama wewe...
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]