Ushauri: Haamini kama nilimtunzia usichana wake

Hahaa ni sehemu ya yeye ndio ila sio yeye kwa maana kwamba hata bila bikra bado anabaki kuwa yeye tu..bikra yenyewe inabomolewa siku moja tu mbwembwe zote za nini?
Ahahahajajaa eti inabomolewa.... utadhani bomoa bomoa ya Kimara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…