Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi

Ushauri: hakikisha una mganga mzuri kabla ujaenda oral interview yeyote ya utumishi

Mloomba TRA kama ujawah kwenda kwenu kutambikiwa nenda, kama uliktaa mkoba wa uganga kubali kama uligombana na wazaz omba msamaha, kama Kuna Mzee umekorofisha nae muombe radhi, mwisho nenda kasafishe nyota upewe na ndele nenda kweny interview Ukiwa na amani na ulinz kutoka Kwa sangoma na mungu akikusimamia
 
Haa Connection Kwa Sangoma Mkuu
Tafuta mganga mzuri hakuna linaloshindkana chini ya Jua, ukitaka mganga nikuelekeze Tanga tu hapo kabuku au mkata WAGANGA tele wengne wanarudi shule saa 9 wapo darasa la SITA hawasHindw jambo
 
Nimekua member wa panels nne za Utumishi wakati wa oral. Kusema kweli fairness ni 99% sijaona uchawi wala kupendelewa.
Nakuunga mkono mkuu, bila connection niliganikiwa kuingia oral tano, na katika hizo tano, oral interview moja ikaniingiza kwenye utumishi wa umma
 
Tafuta mganga mzuri hakuna linaloshindkana chini ya Jua, ukitaka mganga nikuelekeze Tanga tu hapo kabuku au mkata WAGANGA tele wengne wanarudi shule saa 9 wapo darasa la SITA hawasHindw jambo
😁😂😄🤣🤣😁🤣😁😁😂😂😂🤣😁😄😄😂
Tanga Nyumba Mganga, Nyumba Shoga
 
Nakuunga mkono mkuu, bila connection niliganikiwa kuingia oral tano, na katika hizo tano, oral interview moja ikaniingiza kwenye utumishi wa umma
Mpaka ufanye oral Tano wenzio moja tu wanakaz uon umejichelewesha
 
Back
Top Bottom