Satisfy
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 238
- 347
oya mwamba lkn usinipeleke kwa wahuni wa mjilniShuka stend mpya chalinze utaona yard ya kulaza malor nyuma ya yard nyumba ya tatu ni Kwa mganga
oya mwamba lkn usinipeleke kwa wahuni wa mjilniShuka stend mpya chalinze utaona yard ya kulaza malor nyuma ya yard nyumba ya tatu ni Kwa mganga
wako vizuri chief?We skupelek WAGANGA wa chalinze wanakutosha sana
Kama upo serious njoo pmwako vizuri chief?
nko serious mwamba.pm kwa upande wangu huwa haifunguki,nikutumie namba yangu mkuuKama upo serious njoo pm
Upo sahihi mkuu. Mungu pekee ndiye anaweza kukuvusha. Pale unapohisi huna tena namna na umekata tamaa ndipo Mungu anakuinua. Kikubwa ni kupambana bila kuchoka. Pia marafiki wema na watu wanaokupa hamasa ya kusonga mbele sio wa kupuuza.Mganga pekee ni Mungu.
Me nimeanza hizi harakati za ajira za serikali mwaka huu.mpaka sasa nishapiga written 3,kati ya hizo nimeingia oral moja ndio nasubiria majibu yake yatoke.
Tumtumainie Mungu pekee
Mkuu ya TRA HAUPO?Nimekua member wa panels nne za Utumishi wakati wa oral. Kusema kweli fairness ni 99% sijaona uchawi wala kupendelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sio mlokole mkuu nitake radhi
Mkuu Umefanya case study ipi nchini ambayo imepitishwa na maprofesa kua nyumba zote wanazoishi waganga vijana wanaotafuta kazi wamepata ama hawajapata..Ingekuwa hiyo mbinu Ina work out sifikirii Kama kungekuwa na jobless kwa kuanza na familia za hao waganga
Hii inawezekana?Mnasemaga eti jeshini hawapokei vijana wasio na uvungu kwenye unyayo??
Kuna kijana alikataliwajeshini eti hana uvungu wa mguuni, mama yake akamwita kijijini, akampeleka kwa mzee fulani. Mzee akamuosha, Dadeki baada ya siku kadhaa wale wale waliomkataa wakamwita kwa simu aende akaripoti kambini tayari kuanza mafunzo.
Chezea ndumba nini
Iliotiki ni ya mganga au connection?Nakuunga mkono mkuu, bila connection niliganikiwa kuingia oral tano, na katika hizo tano, oral interview moja ikaniingiza kwenye utumishi wa umma
Sioo kweli kaka ,ila Kila mmoja na Imani yake ,ety bila mganga hutoboi oral utumishi ,mtegemeeni Mungu tu ndioo Kila kitu na wakati wako ukifika unapata kazi vizuri tu ,ushuhuda ni Mimi mwenyewe Sina mtu ninae mjua serikalini Wala kwenda kwa mganga ,ila nilimtumaini Mungu na kusoma vizuri bhasi Mungu atakupa kibali ,na hadi Sasa Mungu kanipa kazi huko huko serikalini . Yote kwa yote Kila mtu na Imani yake .Anaehitaji mganga mzuri....pm