Kashaija72
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,522
- 5,586
Duuuuh;Mloomba TRA kama ujawah kwenda kwenu kutambikiwa nenda, kama uliktaa mkoba wa uganga kubali kama uligombana na wazaz omba msamaha, kama Kuna Mzee umekorofisha nae muombe radhi, mwisho nenda kasafishe nyota upewe na ndele nenda kweny interview Ukiwa na amani na ulinz kutoka Kwa sangoma na mungu akikusimamia
4/1Duuuuh;
Mwanzoni ilikuwa ratio ya nafasi 1 kwa waombaji 84. Je imebaki ngapi?
Hakuna mji usiokua na mashoga, mara ya mwisho kuona shoga Kijijin analima lini?Ndiyo Tanga Hiyo Hiyo
KivpUongo
Hii kitu kama hujawahi kuona maajabu yake basi utalaumu tu na kudhihaki ila ukweli kuna ambao sangoma anafanakisha kila kitu kwao na kuna ambao Mungu tu kwao ila wale wa vuguvugu maisha yao ni magumu kutoboa sanaMloomba TRA kama ujawah kwenda kwenu kutambikiwa nenda, kama uliktaa mkoba wa uganga kubali kama uligombana na wazaz omba msamaha, kama Kuna Mzee umekorofisha nae muombe radhi, mwisho nenda kasafishe nyota upewe na ndele nenda kweny interview Ukiwa na amani na ulinz kutoka Kwa sangoma na mungu akikusimamia
Ndio maana nchi haiendelei, waru wanawaza uchawi, uganga ushirikina.M yangu ni hayo tu
Uzi tayar
Endelea kusubiriaMganga pekee ni Mungu.
Me nimeanza hizi harakati za ajira za serikali mwaka huu.mpaka sasa nishapiga written 3,kati ya hizo nimeingia oral moja ndio nasubiria majibu yake yatoke.
Tumtumainie Mungu pekee
SawaEndelea kusubiria
We skupelek WAGANGA wa chalinze wanakutosha sanaIla mwamba una hoja,ebu nipe konection ya mganga mzuri apo tanga ili nipasue kwa hii interview.
Shuka stend mpya chalinze utaona yard ya kulaza malor nyuma ya yard nyumba ya tatu ni Kwa mgangaIla mwamba una hoja,ebu nipe konection ya mganga mzuri apo tanga ili nipasue kwa hii interview.
Mawazo ya kizamani ambayo wamebakia nayo ccm pekee humu dunianiM yangu ni hayo tu
Uzi tayar
SAWA we mweny mawazo ya kisasaMawazo ya kizamani ambayo wamebakia nayo ccm pekee humu duniani
Dunia mpya hiiSAWA we mweny mawazo ya kisasa
Sawa kushinda Kwa mwamposa ndo Dunia mpya?Dunia mpya hii
Huko nako ni kimbilio la chawa tena wakongwe walio ama gawa akili ama zilizo chachuka.ama chacha.Sawa kushinda Kwa mwamposa ndo Dunia mpya?