blackstarline
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 3,278
- 7,966
Ila wanawake ni wasalisiti sana hawaaminiki kabisa, Mungu kama alijua akawapa heshima ya kutuzaa na kuitwa Mama, isingekuwa hivyo wange pata taabu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulieni basi makamanda.
mkileta ujuaji usio na macho Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na uwaziri utamuhusu.
""""""kudadadeki"""""
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.
Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Bado alikuwa na marupurupu!🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Wafukuzwe tu.Hwa takataka ni wakufukuzwa...
kila ugomvi unamwisho acha wakapambane huko binafsi nimeona yule DADA nusrat Kanje ametendewa haki sana na imempa nguvu maana ameteswa rumande bila sababu.Sheria ndio imewapa haki hiyo lakini hiyo haiondoi ukweli kua Ucahguzi haukua free and fair.Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.
Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Vipi kama wana baraka zote za chama na chama kimeona kipate ruzuku kupitia wao?Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.
Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Ni vigumu kuwafukuza kwani mbowe kala Rushwa tokea CCM kauza chama na dalali wa mchongo kala chake tayari ni pesa ndefu imetumika kufanikisha hilo, pesa iliyotumika ingeweza kujenga viwanda zaidi ya 100 na Hosptal za rufaa kibao lakini ccm kwa hofu ya vikwazo vya kimataifa wameamua kuitumia kuwanunua chadema wapenyeze wabunge ili bunge lionekane ni bunge la ki demokrasia huku kwenye vile viti 10 vya Rais atamteua chadema mwanaume mmoja piaNimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.
Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Lissu aanzishe chama chake cha siasaKufukuzana uanachama haijawahi kuwa solution yenye kuleta tija
Nyie tulieni maisha yaendelee tu na wanasiasa wasiwape stress. Jiulize kwanini mpaka leo Aida hakuwa amefukuzwa?
Jiulize mpaka leo kwanini ACT wamemute kujibu barua kama hawatojoin SUK? Jiulize kwa nini kwenye press conference ya jana alikuwepo Lissu na Zitto tu? Mbowe na Mnyika walikuwa wapi?
Njaa ya ruzuku imemfanya mbowe ajitoe utu bila Aibu kapokea Rushwa kauza viti maalumTaarifa ya kina halima kuapa imenivunja moyo Sana
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Lisu aweza kuhamia ACT maana hayupo ktk mgao waoLissu aanzishe chama chake cha siasa
Amekana akiwa wapi?CHADEMA WAKANA KUPELEKA MAJINA YA VITI MAALUM