USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Ila wanawake ni wasalisiti sana hawaaminiki kabisa, Mungu kama alijua akawapa heshima ya kutuzaa na kuitwa Mama, isingekuwa hivyo wange pata taabu sana.
 

Hawa wataendelea kuwa wabunge. Mark my words. Kuna sehemu mlikosea. Yule Amsterdam wenu kawaingiza chaka.
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
 
kila ugomvi unamwisho acha wakapambane huko binafsi nimeona yule DADA nusrat Kanje ametendewa haki sana na imempa nguvu maana ameteswa rumande bila sababu.Sheria ndio imewapa haki hiyo lakini hiyo haiondoi ukweli kua Ucahguzi haukua free and fair.
 
Vipi kama wana baraka zote za chama na chama kimeona kipate ruzuku kupitia wao?
 
Ni vigumu kuwafukuza kwani mbowe kala Rushwa tokea CCM kauza chama na dalali wa mchongo kala chake tayari ni pesa ndefu imetumika kufanikisha hilo, pesa iliyotumika ingeweza kujenga viwanda zaidi ya 100 na Hosptal za rufaa kibao lakini ccm kwa hofu ya vikwazo vya kimataifa wameamua kuitumia kuwanunua chadema wapenyeze wabunge ili bunge lionekane ni bunge la ki demokrasia huku kwenye vile viti 10 vya Rais atamteua chadema mwanaume mmoja pia
 
Lissu aanzishe chama chake cha siasa
 
Hapana wasifukuzwe wabakia humo humo Chadema ila tusisikie tena ujinga ujinga wao. Sisi wananchi ndio tujiondoe tunaendelea na maisha yetu mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…