USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Hizo ngonjera peleka CCM
 
Chama makini kinaweza kufanya ujinga wa kutupa kilioufanya kwenye uchaguzi mkuu .
Ni baada ya kuona upinzani hauna tija,unapingaje hata lililo jema kwa wananchi wako. Kizuri kiwe kipi? Kwendeni zenu huko, mmejawa na makelele tu na bado.
 
Ilibaki muda mfupi muda wa bunge kuvunjwa... I hope Itakuwa ngumu kuwalinda kwa miaka mitano...
Kuna uwezekano hata wakifukuzwa uanachama ndugai akawalinda waendelee kihudhuria bungeni, ref yule mbunge alievuliwa ubunge lakini ndugai alimkingia kifua na aliendelea kuhudhuria bunge
 
Huzi ngonjera peleka CCM
 
Hawana kosa la kufanya wafukuzwe kura zilizowapeleka bungeni ni za halali siyo kama zile za akina fulani zilizopigwa vichocholoni zikapelekwa kwenye chumba cha kura na mikoba.
 
Makamanda wanatoa mapovu kisa wadada wameamua kupambana na matembele hana kwa hana
Utawafukuza chama bawacha kisha mtajiteua nyie akina sugu, pro j , Msigwa muwe bawacha?
Siasa ni uvumilivu , mapambano , ujasili, maumivu kama vyote hivyo auviwezi toka katika siasa kashabikie utopolo ili urushe ngumi kwa mikia…
 
Un
Mbona huyu binti ana lugha ya kihuni sana...☹️☹️
Yaani hii sio lugha y kiuongozi..😎😎
Kawaida yake, wala usishangae.
Kama bungeni anatamka maneno kama; useng.e na 'zipigwe' tena kwa sauti aki interupt mtu mwingine anayeongea bila ruhusa ya spika!
 
Endelea kuota ndoto za mchana Kama hizoooo[emoji3][emoji3][emoji3]
Service, vipi? Umeshaamka? Hujalala ndugu, hiyo sio ndoto, ni kweli. Pole sana, Kwani wewe uliamini wale ni wa ukweli? Yaani hukujua kabisaa walivyo? Hilo liwe funzo, tafakari mwenendo kabla hujaamini. Kunywa paracetamol utakuwa vizuri
 
Kuwafukuza wabunge ambao wameshaahidiwa kulindwa na sipika kwa chama kilekile cha upinzani hata bila kujali kuwa chama husika kimewafuta uwanachama ni kupoteza muda bure.

Hoja ni kwamba je kama mgombea wa upinzani Tundulissu angeshinda katika nafasi ya urais halafu wabunge wa chama chake wote wakashindwa kwa kudhulumiwa kama ilivyofanyika angesusia kuwa rais kwa kuwa wabunge wa CHADEMA wote wamedhulumiwa ushindi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…