TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Mkuu hauna haya sana kujisikia vbaya kuoa tafuta mtu ataekubali mapungufu yako ni bora huyo ameyakataa mapungufu yako wew songa mbeleWadau naomba msaada wenu.
Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia.
Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema hayupo tayari, ndugu yake kasema hataki kuolewa na wewe kisa kiziwi. Dah, nimejisikia vibaya.
Si maninish upande wako binadamu tunamapungufu ya ain nyingi