Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"

Jf kila mtu ana uelewa wake[emoji28][emoji28] wengine hawaelewi aliyekwambia Mwamba hagongi ni Nan? Kaa utulie usome vzuri ndo utoe ushauri
Wewe ndio umethibitisha kua una uelewa hafifu na uache kiherehere,
Amesema kila mdada akimueleza hisia zake anamkataa na mimi nimetoa shuhuda ya mtu mwenye changamoto kama yake ila wanawake hawamkatai,

Haya hapo wewe muelewa sana umeelewa nini.
 
Una uelewa mdogo sana tofautisha ndoa na sex ,yeye anazungumzia ndoa wee unaongelea umalaya😅😅
 
Wadau naomba msaada wenu.

Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia.

Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema hayupo tayari, ndugu yake kasema hataki kuolewa na wewe kisa kiziwi. Dah, nimejisikia vibaya.
Kukataliwa ni kwawida hata kwa watu wenye uzima kabisa kwa kila kitu. kWA SABABU ALISEMA HAWEZI KUOLEWA NA WEWE KISA SHIDA HIYO BASI ACHANA NAYE TAFUTA MWINGINE SWALA LA KUOA NI SWALA PANA ,MNO SI KILA DEMU ATAKUFAA HAPO SHUKURU USHAJUA KUA HAKUFAI USILAZIMISHE MAPENZI.

UNAJUA KUWA KUOA SIO KUGEGEDA TU, AU KUPATA MKE WA KUOA SIO SAWA NA KUPATA DEMU.

UKITAKA MKE WA KUOA INAKUWA NI KAMA UNAFANYA INTERVIEW KUNA ANAYESHINDWA NA ANAYESHINDA KILA MTU ANA VIGEZO VYAKE HIVYO HUYO HAKUFAI. MWACHE AENDE NAJUA NI NGUMU KUACHANA NA MTU ULIYEMPENDA HAPO MWANZO ILA UTAKAA SAWA THEN TAFUTA, NA UNAPOTAFUTA USIMFICHE TATIZO LAKO UONE KAMA ATARIDHIA, UTAKATALIWA NA WENGI ILA UTAMPATA ANAYEKUFAA.

NB>

KAMWE USIJIRAHISISHE KWA KUSEMA NATAKA CHOCHOTE ILIMRADI NIWE NIMEOA MAHUTO YAKE HUWA YANAHARIBU HADI NGUVU KAZI. JIAMINI, SIMAMA TAFUTA MKE ACHANA NA WASHAMBA UNAOKUTANA NAO HUKO MTAANI, TAFUTA BANA.

OYA UNANIJUA MIMI?
 
NAkubali ila je ameshaenda akaambiwa hizo hazimfai,mana mi kuna mtu namjua yeye hasikii kabisa uwezo wa kusikia umepotea so anatumia hizo
Elewa hearing aid devices sio nzuri kwa mtu mwenye tinnitus hazifai labda yule kiziwi kabisa ...kwa sababu zile zinavuta sauti kwa sana .

Kwa mtu mwenye tinnitus kama mleta Uzi ni kwamba ana kupoteza nervous strength katika kusikia ni mfumo wa nervous ndo maana wanapewa dawa kama Neuro support na neuroton ili kuboost mishipa ..Sasa kama utampa zile devices basi ile hali ya kusikia makelele hata mtu akidondosha penis itamjia na kumgasi, hatoweza kukaa sehemu ya watu wanaongea hata barabara atasumbuliwa na honi na milio ya magari.

Zipo ambazo ni special na ni pesa ndefu sio hizi za mil 1. Zipo za mpaka mil 10 na kuendelea ila zinahitaji utulivu maana zinachuja maneno haivuti zinasaidia Neva za mwili kutafsiri na kuchuja .

Mtakuelewesha tinnitus kama mtoa mada anaweza kwenda disco likapigwa beat la mziki akaflow na kusikia ila neno moja moja la kinachoimbwa haelewi...in short tinnitus haeweli sio kusikia lakini mda fulani anakota neno na kutambua mfano akiongea na mtu then pakawa pametulia sana na kuwa makini anaweza kumuelewa kabisa
 
NAkubali ila je ameshaenda akaambiwa hizo hazimfai,mana mi kuna mtu namjua yeye hasikii kabisa uwezo wa kusikia umepotea so anatumia hizo
Ndio ulipaswa kumuuliza kama hajawahi kupima, nimekuambia hizo vitu haziko kwa kila asiyesikia. Unaweza ujawa unasikia kidogo lakini bado zisifanye kazi na kuwa usumbufu kwenye masikio yako
 
Wadau naomba msaada wenu.

Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia.

Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema hayupo tayari, ndugu yake kasema hataki kuolewa na wewe kisa kiziwi. Dah, nimejisikia vibaya.
Maswali ya kipuuzi hayo hakupendi sababu wewe ni kiziwi,na ukiziwi ni tatizo la milele basi achana nae tafuta atakaekupenda
 
Nje ya mada: Naomba nikuulize, usijisikie vibaya. Unausikivu hafifu au husikii kabisa?
Nahitaji kujua tatizo lako ni kubwa kiasi gani. Unaweza nijibu DM pia.
 
Je una uhakika maneno aliyosema huyo rafiki kumhusu huyo mchumba wako ni kweli. fanya uchunguzi kwanza kabla ya kuamua.
 
Husikii kabisa au unasikia kwa mbalii?
Ninapoishi kuna kijana anatufanyia usafi ana usikivu wa mbali ukiongea nae unavuta kwanza pumzi ndefu ndio utoe sauti kali ili akusikie lakini mbona yupo fresh na anagonga mademu mtaan kama kawaida

Sisikii kabisa mkuu yaan masikio yalishaziba kabisa..kifupi nina tinnutus ambayo niliipata baada kuchomwa sindano ya kwinin
 
Una uelewa mdogo sana tofautisha ndoa na sex ,yeye anazungumzia ndoa wee unaongelea umalaya[emoji28][emoji28]
Wewe chizi umeaibika vibaya ulivyojijua umedandia treni kwa mbele, mimi nilikua namjibu mtoa mada au huyo mwingine? Komwe kubwa kama kibanda cha voda[emoji57]
 
Wewe chizi umeaibika vibaya ulivyojijua umedandia treni kwa mbele, mimi nilikua namjibu mtoa mada au huyo mwingine? Komwe kubwa kama kibanda cha voda[emoji57]
Sina mda wa kubishana na single mother kama wew
 
Back
Top Bottom