Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
😅😅Mara Hana tako,Hana churaWanaume huwa mnaongoza kuwakataa wanawake wenye kasoro usijitoe fahamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅Mara Hana tako,Hana churaWanaume huwa mnaongoza kuwakataa wanawake wenye kasoro usijitoe fahamu.
Jiamini, jikubali, ukifanya hivyo na wengine watafanya hivyo kwa lazima. Ukijishusha na kuwa mbabaifu na wengine wana kushusha na kukufanyia ubabaishaji.
Jiweke namna unataka, misimamo nk.
Kwani KE kukosa tako ni ulemavu?😅😅Mara Hana tako,Hana chura
Nakazia...Kama mtu hawezi kuolewa kisa weakness yako hakufai kwenye shida na raha mteme
Hapo sasa !! Hapa wanajitilisha huruma😅😅Mara Hana tako,Hana chura
Mwanamke akikosa shape bhas anakosa amaniHapo sasa !! Hapa wanajitilisha huruma
Sasa wewe puuza! Usiumizwe na hayo maneno, kila binadamu ana mapungufu yake kwa namna fulani iwe kimaumbile , kitabia n.k, take easy!.Me pisi nazipata sema huyu nimeambiwa tu anavyosema sina uhakika
We mwenyewe unajua cha kufanya, ameshakuonesha makucha yake. Ila kwanini hujachukua maamuzi?Wadau naomba msaada wenu.
Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia.
Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema hayupo tayari, ndugu yake kasema hataki kuolewa na wewe kisa kiziwi. Dah, nimejisikia vibaya.
Mtafute anayekupenda na hali yako achana na huyo hakufaiWadau naomba msaada wenu.
Mimi ni kijana mwenye tatizo la usikivu. Kuna mwanamke nilikuwa nataka kumuoa, sasa nimesikia tetesi kutoka kwa ndugu yake anasema hawezi kuolewa na kiziwi anaogopa kuchorwa japo yeye hujawahi kunitamkia.
Financial huwa namsaidia sana ila ndoa anasumbua, anasema hayupo tayari, ndugu yake kasema hataki kuolewa na wewe kisa kiziwi. Dah, nimejisikia vibaya.
Mbona viwete wake kwa waume wanaolewa sana! Tena wanabarikiwaga watoto wazuri sana!Usihuzunike mkuu,binadamu ndivyo tulivyo...Yaan hakuna binadamu Mtakatifu kwenye madhaifu....sema tunakushauri tu Ili ufanye maamuz sahihi.Wewe hujawahi ona thread humu za kutupinga single mom? Au thread kupinga kibamia,kupinga wanawake wasomi,kupinga wanawake maskini, wanaume maskini....mtu anajitukuza kabisa huyu singlemom namla tu papuchi ila sitomwoa....mambo haya yapo duniani na ni kawaida....hata wewe ukiletewa kiwete umwoe ni Lazima utaruka futi 100
Wao Kwa wao....hata maskini Kwa maskini huoana mkuu....Mbona viwete wake kwa waume wanaolewa sana! Tena wanabarikiwaga watoto wazuri sana!
Tea bila sugar.Wadau naomba msaada wenu.