Ushauri: Hizi habari zipelekwe kwenye jukwaa lake

Faana

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
38,657
Reaction score
44,759
Leo tumeamka na nyuzi za lugha mpya na zina dominancy ya kutosha humu, nashauri zipelekwe kwake kwenye eneo husika maana nimeliona lipo humu
 
Jukwaa gani unapendekeza au lile la international nini sijui
 
Sasa itakuwa forum ya kikabila na mimi ntataka ya Wachagga tu na mwingine vilevilešŸ˜‚
Tunaunganishwa humu na Kiswahili sasa hii ya leo imekuja kivingine wengine hatuelewi kitu na hizo nyuzi zimejaa humu
 
Kumbe kuna Rwanda forum
ndio kwanza naliona, ni kinyarwanda kitupu, bora wangeandika hata kwa kifaransa tungeweza kuchangia mada za huko. Hicho kinyarwanda wengine hatuelewi hata sentensi moja
 
Wanalitangaza jukwaa,likishapata umaarufu wataacha kutuwekea habari za huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…