Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Mkuu sasa wewe unapendekeza hii wizara apewe naniMuhongo? Seriously?
Unamjua vizuri?
Mtu dalali wa vitalu vya mafuta ..
Aliewekwa mifukoni na wawekezaji matapeli ndo unakuja kushauri hapa??
Kwani wizara si inajiendesha mkuu, kwani inaendeshwaTusitake kuongeza gharama kwa wananchi, kwanza wizara zinatakiwa zipungue
Watumishi wake wanalipwa na nani au wizara ni nchi tofauti?Kwani wizara si inajiendesha mkuu, kwani inaendeshwa
Na umesahau kuweka namba ya simu ili tukukumbuke kwenye teuzi za wakurugenzi.Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas, petroleum products, and liquefied natural gas Tanzania...
namba ya simu ya nini mkuu, unadhani nataka uteuzi. Wengi tutaendelea kuisapoti serikali pale inapokwama.Na umesahau kuweka namba ya simu ili tukukumbuke kwenye teuzi za wakurugenzi.
Muhongo amefanikisha mengi mkuu, hilo bomba la gesi kutokea Mtwala lilijengwa enzi zake. Yeye si ndiye aliyekwenda Uganda kuwa konvisi bomba la, mafuta lipite Tanzania akawashinda wakenya mkuu.Wazo mujaraabu kabisa, lakini kwanini awe mzee muhongo tu.. So akizungumza fa na hiyo wizara ife.. Ingekuwa vizuri ukaishia hapo kwenye wazo tu, huyu muhongo ameshakuwa waziri qa nishati alifanya nini cha maana!? [emoji849][emoji848]
Hayo yote yanawezekana mkuuWatumishi wake wanalipwa na nani au wizara ni nchi tofauti?
Tuache kuwaongezea mzigo wananchiHayo yote yanawezekana mkuu
Hiyo sekta ni muhimu sana Tanzania, hiyo sekta haiwezi kuinuka tukiachanga na hizo zingine za umeme.Tuache kuwaongezea mzigo wananchi
SawaHiyo sekta ni muhimu sana Tanzania, hiyo sekta haiwezi kuinuka tukiachanga na hizo zingine za umeme.
Profesa Muhongo ana kiburi cha kitaaluma (academic arrogance), hafai kuwa Kiongozi.Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas, petroleum products, and liquefied natural gas Tanzania.
Maeneo muhimu ambayo ningependa hii wizara ihusike nayo ni haya yafuatayo.
1. Exploration and exploitation of petroleum resources, including natural gas (methane, helium)
2. Production, supply distribution, marketing and pricing of petroleum including natural gas and petroleum products.
3. Oil refineries, including Lube plants and natural gas plants.
4. Natural gas utilization to get valuable products.
5. Additives for petroleum and petroleum products.
6. Lube blending and greases.
7. Planning, development and control of, and assistance to all industries dealt with by the Ministry.
8. Planning, development and regulation of gasfield and oilfield services.
9. Administration of various Central laws relating to Petroleum and Natural Gas.
Ningependa wizara ya nishati ishughurikie mambo ya kuzalisha, kusambaza na kuuza umeme.
Ishughurikie uzalishaji wa umeme kutoka vyanzo mbalimbali mfano maji, gesi, joto ardhi, upepo, jua, mawimbi ya bahari n.k.
Huo ndio ushauri wangu,
Ninahisi ikiwa hivi tutaipunguzia wizara ya nishati mzigo, na tutaongeza ufanisi na ukuaji katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.
Nina imani Prof. Muhongo amejifunza hawezi kufanya ujanja tena. Nimempendekeza yeye kwasababu bwana Muhongo ana passion na mambo ya mafuta na gesi kwa hivyo atafanya kazi kwa bidii ili kuendeleza sekta hii Tanzania.
Karibuni kwa maoni.
kivipi mkuuProfesa Muhongo ana kiburi cha kitaaluma (academic arrogance), hafai kuwa Kiongozi.
Karama za Uongozi zimempitia mbali kwa kuwa hayuko tayari kupokea mawazo mbadala hasa kutoka kwa mtu aliyemzidi elimu.
Fafanua vizuri hicho kiburi chake kikowapi.Profesa Muhongo ana kiburi cha kitaaluma (academic arrogance), hafai kuwa Kiongozi.
Karama za Uongozi zimempitia mbali kwa kuwa hayuko tayari kupokea mawazo mbadala hasa kutoka kwa mtu aliyemzidi elimu.
Muhongo anaweza akajuwa mawe na miamba na UCHAFU wote kwenye miamba lakini hana karama ya uongozi. Uongozi watu huzaliwa nao na wengine hujifunza. Prof Muhongo hakujaliwa na isitoshe ameshindwa kujifunza.kivipi mkuu
Angalia majibu alikuwa anajubizana na akina Bilionea Reginald Mengi akiwa Waziri wa JK kuhusu uwekezaji kwenye gas and oil.Fafanua vizuri hicho kiburi chake kikowapi.
AjiraMkuu mbona mnataka wananchi wapate shida kulipa Kodi za kulipa watu hovyo hovyo