Ushauri: Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania na Waziri awe Profesa Muhongo

Wizara ya Nishati inafanya nini?
TPDC je?
PURA?

Labda uje na 'gap analysis'

hamna kabisa kitengo Serikalini cha kushughulikia suala la Gesi?.
 
Akiondoka Muhongo na wizara ifutwe
 
Muhongo? Seriously?
Unamjua vizuri?

Mtu dalali wa vitalu vya mafuta ..
Aliewekwa mifukoni na wawekezaji matapeli ndo unakuja kushauri hapa??
Majina huumba, Muhongo ni mwongo balaa.
 

Mkuu TPDC kwa niaba ya Serikali si ipo?
Na Hayo yoote si naona Kama yapo na Yanasimamiwa na TPDC?
Kwa Maana Ya CEO wake?
 

Una Maoni Mazuri sana!
Ila Politics Haitakiwi...
Sasa Naona Majukumu ya wizara yatafanana na TPDC
Halafu
Wizara naona Kama itashibdwa lazima Iwe na Kampuni kwa ajili ya Kusimamia Hizo Activities
 
Kwa katiba hii na CCM hii hata malaika washuke hamna kitu...trust me.
 
Mkuu,

Nafikiri kwenye mapendekezo yako inaonesha kwamba unamatarajio ya kuwa na maslahi kupitia kwake.

Huyo mtu hafai kuwa waziri kwa sababu ana majivuno, mmbinafsi, mwenye kiburi cha elimu na dharau kwa wasio na taaluma yake ya jiolojia.

Ana lugha ya kutweza wengine kana kwamba yeye ndio alipozaliwa alimilikishwa taaluma ya jiolojia pekee na kwamba pasipo yeye hakuna mafanikio.

Huyo mtu anafaa kwenye taasisi za kimataifa tu kwenye nafasi ya utendaji (CEO).

Kumbukumbu zinakataa labda kama kunawilisha mabo yasiyofaa chini ya uangalizi wake.
 
Majina huumba, Muhongo ni mwongo balaa.
Mimi na mke wangu ni ma profesa tupeni Nchi muongozwe na ma profesa CV zetu ni wastani wa tani moja gari ndogo haiwezi zifikisha Dunia ina nitambua me ndio Rais wao kwenye masuala ya miamba na mafuta!
Leo mtu kama Ole sendeka ana bishana na mimi wakati ata Darasa la saba alifeli in muongo voice
 
Mimi nimpenda maendeleo wala sina maslahi yoyote mkuu.
 
Mimi na mke wangu ni ma profesa tupeni Nchi muongozwe na ma profesa CV zetu ni wastani wa tani moja leo mtu kama Ole sendeka ana bishana na mimi wakati ata Darasa la saba alifeli in muongo voice
πŸ˜… 🀣 🀣✍️
 
Nathani humjui Mhongo, ni mtu mwenye uwezo kiakili ya academic lakina hana leadership skill ana arogance hawezi unganisha wotu sehemu ya kazi anamatusi ya hovyo sana. Kwa kifupi huyu anatakiwa kwenye nafasi ya utendaji awe na mtu wa kumsimamia. Muhongo anakiburi na dharau sana.
 
πŸ˜… 🀣 🀣✍️
Ninapo ongea chukuweni kalamu na karatasi muandike mimi ni msomi na wafadhili wenu wana nijuwa mimi ni msomi!
kuchoraonga kwenye kina kirefu tundu moja ni dola za Kimarekani 1m unahitajika kuchoraonga tundu 12 sawa na dola milioni 12 hakuna mtanzania anaye weza wawekeze kwenye juice in muongo voice! dah
 
Hahahahaaaaaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…