Ushauri: Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya mafuta na gesi Tanzania na Waziri awe Profesa Muhongo

Unaweza kuwa umeongea vitu vya maana ila unapohusisha utendaji kazi na maprofesa wa kibongo ni vituko vitupu hata Lijualikali anaweza kuwa na unafuu
 
Mimi nimpenda maendeleo wala sina maslahi yoyote mkuu.
Mkuu

Usidanganyike na maneno yanayokutia hamasa ukadhana ana nia njema; huyo mtu hapo anasaka kuteuliwa uwaziri ili arudi kwenye chati zake za awali.

Tuna wataalamu wengi tu wenye fani za jiolojia mmojawapo ni mkurugenzi mtendaji wa TPDC na wengine wala hawajitangazi lakini wenye elimu ya kutukuka kwenye masuala ya uhandisi katika Gesi, Mafuta, Madini, Ujenzi, Usafirishaji (Anga-Air, Nchi kavu-surface land na Majini-marine).

Kuna wataalamu wa kitanzania wako nchi za kusini mwa Afrika, Amerika kasikazini/kusini, Ulaya, China, Uingereza, nk ambao wanaweza kushawishiwa kuja kujenga nchi yao kwa uzalendo lakini sio hawa wanaotafuta kujineemesha wenyewe bila faida kwa taifa na wananchi wake.
 
Hii wapi na lini alisema hivyo mkuu?
 
πŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚
 
H
hao wataalamu wameleta maendeleo gani mpaka leo ambayo nawewe unafaidi
 
Wazo zuri Sana lakini kusema wizara hiyo apewe Muhongo hapo nasema big No. Mzee wa madili Sana yule, abaki kupiga makofi tuu Bungeni inatosha.
 
H

hao wataalamu wameleta maendeleo gani mpaka leo ambayo nawewe unafaidi
Huyo mtu wako unayempigia debe bila aibu kafanya kitu gani tangu asomeshwe na serikali?

Alikimbilia nchi za nje na alirudi baada ya kuaihidiwa kupewa nafasi za juu lakini aliboronga.

Manefaa ya watalaamu wengine ndio yanayokuwezesha wewe sasa kuandika hicho unachokidemkia hapa.
 
Moja alipo chukuwa fomu ya URais na nyingine alipo kuwa na ligi na Ole sendeka
Nina kushauri uwakusanye maprofesa wenye tabia na hulka kama zake kisha uwakutanishe na wa darasa la saba kama Msukuma, Ole Sendeka (kwa mjibu wako), Kishimba (ijapokuwa kwa sasa ni msomi mmbobevu) halafu pembua hoja kati ya hao ni zipi zenye mashiko na zinatekelezeka kwa ufanisi.

Mwisho wa siku utagundua utajua kuwa haujui chochote na hutakuja kujua kwa namna yoyote
 
duh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mkuu binadamu huwa wanabadirika.
 
Hivi saivi mafuta yapo kwenye nishati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…