Ushauri: Idara ya Makumbusho ya Taifa ihifadhi baadhi ya vitu alivyotumia JPM wakati wa uongozi wake

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Nashauri idara hii itunze vitu hivyo kama mavazi, magari vitunzwe. Hii iende hata kwa marais wengine.
 
Nashauri idara hii itunze vitu hivyo kama mavazi, magari vitunzwe. Hii iende hata kwa marais wengine.
View attachment 3226273
Bila kusahau cartridges za kwenye shambulio walipomshambulia Lissu na kumjeruhi, hatutamsahau kwa hilo na funny enough yeye yuko six feet under ila Lissu bado anadunda.
 
kabisa. Kumbukumbu zingine tayari zimeandikwa na akina Kabendera za Ben saanane na wengine.
 
Scientist, wakati huo wanaojiita “watoto wa mjini” walikuwa wako vijijini bado dar waliiisikia tu …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…