Ushauri: Ikiwezekana hii mitihani ya usaili ya walimu itungwe, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA

Ushauri: Ikiwezekana hii mitihani ya usaili ya walimu itungwe, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA

Ni vema mawaziri wakasimamia sera na taratibu za wizara siyo kusimamia mawazo yao, mawazo yapelekwe bungeni kujadiliwa siyo kuingizwa wizarani kama ndiyo utaratibu, tukumbuke Physics with Chemistry na kufutwa kabisa kwa somo la Agriculture miaka flani hivi
 
Maamuzi ya kuwa na mitihani ya usaili kwa walimu iliyotungwa, kusimamiwa na kusahihishwa na NECTA (Baraza la Mitihani) ni jambo linaloweza kuwa na faida nyingi kwa mfumo wa elimu. NECTA tayari inasimamia...
Ingekuwa wewe ungefanya na ukafaulu? Kumbuka Ajira inatangazwa huku ukiwa unamiaka Saba umemaliza Chuo na KAZI zako Sasa unakuwa unalima nanasi chalinzee. Jeee unaweza faulu huo mtihaniii
 
The way mnavyo ongelea kuhusu hiyo mitihani kwa walimu, mtu ambaye anaishi dunia nyingine kabisa anaweza kufikiri labda tatizo kubwa la uduni wa elimu nchini linasababishwa na hao walimu!

Kumbe ukiingia kwa undani zaidi, inawezekana hao walimu wanachangia 10% tu ya tatizo! Huku serikali, wanafunzi, wazazi na jamii kwa ujumla ikichangia 90%.
 
Back
Top Bottom