The way mnavyo ongelea kuhusu hiyo mitihani kwa walimu, mtu ambaye anaishi dunia nyingine kabisa anaweza kufikiri labda tatizo kubwa la uduni wa elimu nchini linasababishwa na hao walimu!
Kumbe ukiingia kwa undani zaidi, inawezekana hao walimu wanachangia 10% tu ya tatizo! Huku serikali, wanafunzi, wazazi na jamii kwa ujumla ikichangia 90%.