Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,114
- 4,486
Kuna wakati kama binaadam mwenye utashi yapasa ufanye maamuzi ya kipekee.
Mataragio ajiulize ni kipi ana gain kuendelea na hiyo nafasi. Ikiwa ni kwa mapenzi na uzalendo kwa nchi yake, basi inabidi akae kitako na mteule wake amweleze wabaya wasiomtaka akalie hicho kiti, ikiwa ni bodi ya wakurugenzi inamnyima uhuru itenguliwe haraka sana. Ikiwa ni wadau ktk sekta basi asiingiliwe ktk utekelezaji wa majukumu yake yaani sheria ifuate mkondo wake kwa masrahi mapana ya nchi.
Rais asipokuelewa, temana na hiyo nafasi make inaharibu cv yako. Rudi ughaibuni kafanye kazi na watu wanaoheshimu nafasi na taaluma ya mtu.
Ukiendelea kung'ang'ania watakuuwa hao wahujumu uchumi.