TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Haitokaa itokee😕Yupo anaandaliwa kuwa namba moja siku za mbeleni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitokaa itokee😕Yupo anaandaliwa kuwa namba moja siku za mbeleni
Nenda kafanye, au wewe haupo huru?Hakuna ufundi, tunataka uchunguzi huru.
Ile siyo shule ya kata tuite fundi wa ukatabati.
Sasa hivi kimenuka unawakataa Waarabu wajenzi wa bwawa!Wakulaumiwa n I mwendazake, tayaribkylikuwa na dizaini nanilikuwa Wabrazil waanze kulijenga, yeye alivyoingia akabadili mambo kwa kukurupuka na kujimwambafai.
Ni hayo hayo kwa SGR, ilikuwa tayari Wachina waanze kazi.
Lakini kiufundi inarekebIshika vizuro tu, sema gharama na muda wa kumalizika vinaongezeka.
Cheap is expensive.
Nakushauri tunapojadili issues zinazogusa Maslahi ya nchi,Nenda kafanye, au wewe haupo huru?
Wakibainika kuhujumu Bwawa WANYONGWE hadharani.Wakamatwe wote waliohusika kuanzia na Waziri aliyekuwepo mpaka mkurugenzi nk.
Simkatai mtu. Nawajuwa Wamisri kwa pesa, kuliko wachaga hao. Tulilisema zamani.Sasa hivi kimenuka unawakataa Waarabu wajenzi wa bwawa!
Kuanzia kwenye wazo la mradi, kuchagua mkandarasi mpaka utekelezaji wa mradi wanaoonekana ni wanasiasa pekee. Watanzania hawajapewa hata fursa ya kumfahamu msimamizi mkuu (manager) wa mradi kwa upande wa Tanzania.Nyufa siyo tu hazitakiwi kuonekana bali hata kutajwa katika bwawa kubwa na jipya, kwani madhara yake ni makubwa mno kuanzia maisha ya watu, viumbe wengine, mazingira na kiuchumi.
Hata hivyo, ujenzi unaokabiliwa na msukumo wa kisiasa zaidi kuliko utaalamu, lolote laweza kutokea.
Ushauri wa bure kabisa ni kumtafuta International consultant afanye ukaguzi wa usalama wa bwawa ili kuepuka kuishi na bomu litakaloleta maafa baadaye.Ndiyo tatizo hilo, kitafutwe nini tena na tatizo linajulikana? Pafanyiwe ufundi tu.
Shauri wewe nini kifanyike Ili kupata chanzo na suluhu ya jambo hili.Umesema iundwe kamati huru ya bunge. Bunge lipi? Hili la NDIYOOOO au la India?
Bunge hakina Spika . Lina mwanasheria mkuu Wa serikali anayejiita Spika.Umesema iundwe kamati huru ya bunge. Bunge lipi? Hili la NDIYOOOO au la India?
Wakulaumiwa n I mwendazake, tayaribkylikuwa na dizaini nanilikuwa Wabrazil waanze kulijenga, yeye alivyoingia akabadili mambo kwa kukurupuka na kujimwambafai.
Cheap is expensive.