Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Hii ni aibu kwa taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe namba moja tena,si ndiyo tutarudi nyuma kwa speed kubwa mpaka tutazidiwa na Somalia.Hebu watuonee huruma basi hao wenye kufanya maamuzi ya nani awe namba moja wa Nchi,walau kwa huyu kikombe hiki kituepuke.Yupo anaandaliwa kuwa namba moja siku za mbeleni
Hana time mtoto wa mjini yule tiyari kawaachia manyoya😀[emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja
Hana time mtoto wa mjini yule tiyari kawaachia manyoya😀[emoji24] kipara yukowapi, huyu jamaa hajawahi kuwa mzalendo hata dakika moja
Mwezi wa kwsnza katolewa faster ili kumuepusha na kikombe cha nyufa halafu aliyeletwa amepewa rushwa ya unaibu whip upande wa serikali.....Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.
Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.
Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.
Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .
NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.
Nawasilisha.🙏
Amen.
Halafu sasa ilikuwa ukiwasikiliza Makamba na MD wa TANESCO; sisi tunafanya mambo kisayansi tuna team nzuri ya project
Yupo zake busy anakunja mashati ki Obama Style[emoji3][emoji3]Hana time mtoto wa mjini yule tiyari kawaachia manyoya[emoji3]
Hebu engineers waje kutupa taaluma hapa, hivi si kuna kile kipindi kinaitwa defects liability period ambapo mkandarasi anatakiwa kurekebisha shida zote zilizojitokeza kabla ya kukabidhi final? Au nimekosea? Mimi siyo engineer.
Bahati mbaya hatuna serikali wala bunge bali kikundi cha wahuni walioteuliwa na marehemu kichaa yule,Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.
Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.
Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.
Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .
NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.
Nawasilisha.🙏
Amen.
Rejea thread: Bwawa la Nyerere, Naibu waziri mkuu aelezwa mbinu ya kuzuia maji ya Bwawa kuvunja maji- Bagamoyo.Kamati ya bunge ni hatua ya juu sana.
Ningeliona angalau picha ya hizo nyufa ningelitoa mchango constructive kuhusiana na hizo nyufa. Inawezekana zikawa ni za juu juu ambazo usababishwa na rapid shrinkage ya zege ama sign of structural failure.
Otherwise nitakuwa kama politician
Nyufa zinamhusu mkandarasi, awajibikeTumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Haiwezekani kuacha jambo hili lipite hivi hivi bila kufanyika uchunguzi na kuchukua hatua Kali dhidi ya wahusika wote.
Nashauri kamati huru ya Bunge iundwe kuchunguza sakata hili huku wahusika wote wakiwa nje ya ofisi za umma.
Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.
Tusipokuwa serious katika masuala muhimu ya nchi, tukiruhusu kuoneana Aibu, kamwe hatutafanikiwa lolote .
NB: Tunapojadili Mada hii inayogusa maslah mapana ya nchi, tuepuke udini, ubinafsi, uchama nk nk, Uzalendo uwe Dira yetu.
Nawasilisha.🙏
Amen.
Bandari zetu na Ngorongoro yetu pia tumulaumu Magufuli siyo?Wakulaumiwa n I mwendazake, tayaribkylikuwa na dizaini nanilikuwa Wabrazil waanze kulijenga, yeye alivyoingia akabadili mambo kwa kukurupuka na kujimwambafai.
Ni hayo hayo kwa SGR, ilikuwa tayari Wachina waanze kazi.
Lakini kiufundi inarekebIshika vizuro tu, sema gharama na muda wa kumalizika vinaongezeka.
Cheap is expensive.
Mpuuze, huyo hastahili kujibiwa.Bandari zetu na Ngorongoro yetu pia tumulaumu Magufuli siyo?
Thread ya hapa ni kuunda kamati ya bunge kuhusu hizo cracks. Ndiyo maana nimeomba kupata picha halisi ya hizo cracks ili tuangalia uhalali wa kuingiza kamati ya BungeRejea thread: Bwawa la Nyerere, Naibu waziri mkuu aelezwa mbinu ya kuzuia maji ya Bwawa kuvunja maji- Bagamoyo.
Pia rejea: Bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere,limeanza Kutoa nyufa- Peno hasenagwa.