Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

Kamati ya bunge ni hatua ya juu sana.
Ningeliona angalau picha ya hizo nyufa ningelitoa mchango constructive kuhusiana na hizo nyufa. Inawezekana zikawa ni za juu juu ambazo usababishwa na rapid shrinkage ya zege ama sign of structural failure.
Otherwise nitakuwa kama politician
 
Mwezi wa kwsnza katolewa faster ili kumuepusha na kikombe cha nyufa halafu aliyeletwa amepewa rushwa ya unaibu whip upande wa serikali.....


Tatizo ni CCM maana ndiyo iliyowalea na kuwaleta haya majambazi yatumalize
 
Halafu sasa ilikuwa ukiwasikiliza Makamba na MD wa TANESCO; sisi tunafanya mambo kisayansi tuna team nzuri ya project

Yule MD wa TANESCO wa sasa hivi ana maneno mengi mno wakati utendaji ni tia maji tia maji.Walikuwa wanapokezana na boss wake Kipara kuwananga watendaji wa TANESCO na wizara waliopita.Sasa hivi tupo kwa mgao mkali na yeye kakaa kimya kama hayupo vile.
 
Hebu engineers waje kutupa taaluma hapa, hivi si kuna kile kipindi kinaitwa defects liability period ambapo mkandarasi anatakiwa kurekebisha shida zote zilizojitokeza kabla ya kukabidhi final? Au nimekosea? Mimi siyo engineer.

Uko Sahihi mkuu, watu wa technical wanaosimamia hiyo project Wanalitambua hilo, hiyo ya Dotto biteko ni just ushauri tu.

All in all hiyo ni shida, Nyufa kwenye structure kubwa kama hizo tena as soon kama hii haikutakiwa kabisa, probabily kuna discrepancies zipo apo, time will judge
 
Bahati mbaya hatuna serikali wala bunge bali kikundi cha wahuni walioteuliwa na marehemu kichaa yule,
 
Rejea thread: Bwawa la Nyerere, Naibu waziri mkuu aelezwa mbinu ya kuzuia maji ya Bwawa kuvunja maji- Bagamoyo.

Pia rejea: Bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere,limeanza Kutoa nyufa- Peno hasenagwa.
 
Rock fill dams kwa asilimia kubwa huwa zinapata cracks na sababu huwa ni mabadiliko ya hali ya hewa (temperature changes)...QA/QC ya reinforced concrete ya zile blocks zote na wings (left and right) pamoja na plungle pool je zilifanyika kwa kiwango kipi hapo ndiyo panatakiwa kuwekwa wazi mapema. Dam failure is terrible.
 
Niliwahi kusema humu enzi zile Kipara na watu wake wanajifaragua kwamba kasi ya ujenzi imeongezeka mara mbili zaidi awamu hii ya sita.

Mapungufu yakianza kuonekana hapo msianze porojo,wakati mnahujumiwa hapo mlikuwa wapi ilhali tuliambiwa ufuatiliaji umeongezeka kiasi mmefunga hadi camera hapo site!
 
Nyufa zinamhusu mkandarasi, awajibike
 
Bandari zetu na Ngorongoro yetu pia tumulaumu Magufuli siyo?
 
Rejea thread: Bwawa la Nyerere, Naibu waziri mkuu aelezwa mbinu ya kuzuia maji ya Bwawa kuvunja maji- Bagamoyo.

Pia rejea: Bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere,limeanza Kutoa nyufa- Peno hasenagwa.
Thread ya hapa ni kuunda kamati ya bunge kuhusu hizo cracks. Ndiyo maana nimeomba kupata picha halisi ya hizo cracks ili tuangalia uhalali wa kuingiza kamati ya Bunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…