Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

Tumeona Naibu waziri mkuu, Mh Dotto Biteko akifanya ziara katika Bwawa la Mwalimu Nyerere na Kutoa ushauri jinsi ya kuziba nyufa zilizoanza kuonekana kwenye ukuta wa Bwawa.
Kuna wachezaji watakuja na lawama kwa Tundu Lisu au Slaa
 
Ujinga wa kurithi wakati unazaliwa ni mbaya sana wallah
 
Thread ya hapa ni kuunda kamati ya bunge kuhusu hizo cracks. Ndiyo maana nimeomba kupata picha halisi ya hizo cracks ili tuangalia uhalali wa kuingiza kamati ya Bunge
Rejea thread:Bwawa la kufua umeme la Mwl Nyerere, limeanza Kutoa nyufa-Peno hasenagwa. Picha zipo pale.
 
Wakibainika kuhujumu Bwawa WANYONGWE hadharani.

Kama kiongozi wetu anaogopa kutia sahihi anaweza kukaimisha KAZI hiyo Kwa wazalendo wenye ujasiri.
Kumbuka aliyeanzisha ujenzi huo kwa sasa ni Marehemu huko Chato. Labda anyongwe Kalemani tu
 
Kumbuka aliyeanzisha ujenzi huo kwa sasa ni Marehemu huko Chato. Labda anyongwe Kalemani tu
Ndo ufanyike uchunguzi wa kamati huru maalum Ili kujua Chanzo na hatua stahiki za kuchukuliwa Kwa wahusika.

Ndo tutajua anayestahili kunyongwa ni Kmani au kipara!!
 
Mkopo hata nusu ya robo haujalipika, na Mwekezaji aliongeza gharama zaidi ya Trilioni 1.5 zaidi ya Gharama halisi alizosaini mkataba na Bado tunaona mapungufu haya hata kabla ya uzalishaji kuanza.[emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sabotage Manifesto ...kipara on the Run....
Pale Mwanza ulikuwepo mti wa kunyongea watu hadharani enzi za ukoloni,

Nadhani tunahitaji kurudi enzi hizo Kwa hujuma hizi.
 
Washatuonaga kenge ...
✓ ripot ya cag kimya
✓katiba kimya
✓mfumuko wa bei
 
Washatuonaga kenge ...
✓ ripot ya cag kimya
✓katiba kimya
✓mfumuko wa bei
Wanatuona MANYANI cc Sifael Mbarikiwa.

Wanahisi wakitutupia maganda ya ndizi, tshirts na posho ya buku 5 tutatulia.

Tuwaonyeshe sisi sio MANYANI.
 
Nimesikiliza clip ya maelezo yanayotolewa kwa naibu waziri mkuu na waziri wa nishati (Mh. Biteko).
Kinachozungumziwa pale ni kudhibiti maji kupenya kwenye miamba (permeability) na siyo nyufa kwenye ujenzi. Ujenzi umefanyika juu ya mwamba.
Kiasili udongo na miamba hupitisha vimiminika na hewa kwa viwango tofauti. Kwa miamba ya asili inayozunguka bwawa, lazima upitishaji huo udhibilitiwe kwa kushindilia grout kwa mashine maalum. Ni sehemu ya ujenzi na siyo makosa ya kiufundi.
Nyufa za kwenye zege ni tofauti na hili la kuzuia kwa grouting na madhara yake ni makubwa, ikiwemo kupasuka au kubomoka moja kwa moja kwa bwawa.
Hili tatizo linamhusu moja kwa moja mjenzi.
Nyufa za kwenye zege zitaongezeka ukubwa kuendana na muda au mzigo utakaoingia kama kilichosababisha hakitarekebishwa.
 
Hakika wewe ni mbwa koko konki kabisa,
 
Well said
 
Interesting....
Na akikuta hujuma ni ya sukuma gang wenzie aseme Tu bila kuficha...

Hii hujuma iliripotiwa hapa miezi zaidi ya mitatu kabla haijatokea
Hivi wewe akili ulizipeleka wapi? Sasa Sukuma gang wamehusikaje hapo?
Wewe ni mwehu kwa sasa unampenda makamba hadi unajisahau😂😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…