Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

Yupo Hadi sasa wizara ya Mambo ya nje kama vile hakipo kilichotokea.

Kuna mdau alisema kuteuliwa Biteko ni kuangushiwa jumba bovu, naanza kuliona,

Maana Badala ya kujiuliza Hali hiyo inefikaje hapo,

Anageuka mshauri wa kuziba nyufa.
Politics! Asubiri akabidhiwe aukatae.
 


Niliposikia tu habaro ya ufa, nikajua tayari tushapigwa
 
Wale wakandarasi hiyo project sio ya kwanza kuijenga wanao ujuzi na hawawezi wakafanya vitu vya kijinga namna ile !!
Kama ni kweli !
Narudia kama ni kweli hiyo itakuwa ni hujuma !!
Mkuu kwamba hao wakandarasi watakubali kufanya hujuma kwa maagizo ya mtu ama?
 
Kama Naibu waziri Mkuu kazinotice na kushauri jinsi ya kukabiliana nazo wewe ni nani ubishane naye?.
Au hujasikia maelekezo yake?.
Ishu ni kwamba ujenzi unaendelea, mkandarasi haja- handover mradi, maana yake anayoo nafasi ya kurekebisha kabla ya mradi kuisha na hicho ni kitu Cha kawaida kwenye miradi ya ujenzi,
Lakini kelele zinazopigwa as if bwawa ndo limeharibika na mradi wote ni hasara,
Hii inaonesha uelewa wa watu kwenye mambo ya ujenzi.
 
Hapo wa kuwajibika ni Usalama wa Taifa!
 
Team yenyewe ndo wamejazwa kina maarage, mafundi ving'amuz unategemea Nini[emoji848]
Consultant mmojawapo wa huo mradi, sijui ni Tanroads... Uzoefu wa usimamizi wa Barabara/ madaraja Vs mabwawa, wapi na wapi...sie macho yetu...
 
Hao wachina kwenye sgr ndo wale wa Kenya!? Kumbe Magu alikuwa Mzalendo hasa.
 
Simkatai mtu. Nawajuwa Wamisri kwa pesa, kuliko wachaga hao. Tulilisema zamani.

Hapo lazima zitutoke tukitaka tusitake.

Point yangu ni, nchi haiendeshwi kwa kujimwambafai.
Kwenda, mdini mkubwa.
 
Kila kitu bongo bahati mbaya,,, ila tatizo kubwa lilitngenezwa na muheshimiwa mwenyewe kwa kupitisha wenyeviti,, madiwani na wabunge wengi wa chama chetu (CCM),, vitu vingi ni hovyooooo...
 
Mkuu kwamba hao wakandarasi watakubali kufanya hujuma kwa maagizo ya mtu ama?
Wakandarasi hawawezi kuhujumu kazi zao ! Ila wao wanaweza wakajua hiyo hujuma imefanywa na nani kwa sababu ni lazima wao wawajibike maana mradi umo ndani ya dhamana yao !!
Wao ndio wapo kwenye position nzuri ya kuwaambia Watanzania nini hasa kimesababisha !! That’s my point Mkuu !
 
Hebu engineers waje kutupa taaluma hapa, hivi si kuna kile kipindi kinaitwa defects liability period ambapo mkandarasi anatakiwa kurekebisha shida zote zilizojitokeza kabla ya kukabidhi final? Au nimekosea? Mimi siyo engineer.
Wengi wanaochangia humu ni vilaza wasioelewa lolote lile, wao huongozwa na umbea na chuki dhidi ya wamchukiae waliomchagua........humu jf wamewachagua makamba na jk
 
Hiyo ni engineering ya hovyo sana bwawa kutoa nyufa, hata hawa mafundi wetu wa mitaani hawafanyi ujenzi wa ajabu kiasi hicho pamoja na kwamba hawajasomea maswala ya engineering design and construction.
 
Mashetani wenye chuki na makamba wataumbuliwa tu na Mungu, ni suala la muda tu. Chuki zao dhidi yake zinawafanya wakose akili
Tegemea kushmbuliwa kila Muislam. Hilo ni kawaida.
 
Hili swala limebebwa na wizara husika sisi wananchi litatuhusu pale janga linapotokea kipara unazidi kutuangusha hii sio haki
 
Hii inatokana na kubadirisha mawaziri kila kukicha, hatuna mawaziri wenye uwezo na maono ya nini kinatakiwa kwa wakati gani. CCM wanabahatisha kuongoza na kusimamia maendeleo ya nchi ni kama hawajui wanachokihitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…